Recent content by jovitha mussa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Meli mpya ya Titanic II kuzinduliwa mwaka 2018

    Titanic I, iliitwa unsinkable palace ila ika-sink
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni Binafsi ya Upelelezi Ya kwanza kutokea Africa

    kwann wanakuwa na retired officers
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe rais huwa anarithishwa hata mlinzi wake {body}

    huo mfumo wa kuwa na msaidizi mgongoni mwenye sare za jeshi ni utaratibu wa Uongereza na mataifa ya Commonwealth (yaliyowahi kuongozwa na Uingereza). Kw hyo kwa kuwa mataifa mengi ya dunia ya tatu yaliongozwa na Uingereza hasa Africa utadhan marais wanaokuwa na ma-ADC ni yale masikini. Google...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

    udsm siku hizi kuna kozi inaitwa B.A Law Enforcement. Ni shahada inayohusiana na masuala ya Ulinzi na Usalama. Miongoni mwa masomo yanayofundishwa ni INTELIJENSIA
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sababu bilioni kwanini Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti CHADEMA

    KWANINI MBOWE ANAPASWA KUCHIA UENYEKITI!? 1. Ni mbinafsi, sidhan kama kipindi chooote hakuwahi kuona viongoz shupavu akawaandaa kushika nafasi hyo. 2. Yeye ndo anafanya watu wawe wasaliti kwa kuwa hataki kuandaa mazingira ya wengine kushika cheo hicho. 3. Uwezo wake wa kitaaluma ni mdogo sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    laana za vizazi hukomaa kama msipomuangukia Yesu Kristo ili kuondokana na mfumo wa laana hizo. Kumtumia Yesu ndiyo njia pekee katika kuokoa kizazi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    what!!!! ovyo sana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    ..nice forum
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    mamlaka gani ya serikali na kupitia chombo gani limetolewa tamko hilo!?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

    Utakatishaji wa fedha kiujumla ni kitendo cha kufanya fedha au mali yoyote iliyopatikana kiharamu ionekane ilipatikana kihalali kwa lengo la kuficha uhalisia wa namna ilivyopatikana ili kukwepa mkono wa sheria. Pia pesa yenye lengo baya kuifanya ionekane ina lengo zuri ni utakatishaji, kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TASAF ungefutwa kwa nchi nzima

    hizo hela ni za World Bank hhah wanazitoa kwa maelekezo. Unazuia halafu inakuwaje sasa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

    watu bana, msipende kuandika ujinga...watu hawana uzalendo. Mwaka umeisha ndiyo, wewe unawaza barabara! husemi watumish hewa!? husemi reli, husemi elimu bure, husemi madawati. Acheni roho ya kwanini. Tumuunge mkono Rais wetu ana dhamira ya dhati watanzania.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnums angefikiria kujiunga na kiwanda cha muvi Tanzania

    huwez kusema KIWANDA kwa kuwa kiingereza wanasema INDUSTRY, hizo ni tafsiri SISISI. Kwa kiswahili tunasema TASNIA.
  14. J

    JamiiForums Tanzania DHRO wa Bunda Aloyce Kwezi kortini kwa tuhuma za rushwa

    kaz kweli kweli
  15. J

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    tulieni dawa iingie, lazima tupitie hapa ili tufike tunapokwenda.
Back
Top Bottom