Mradi wa TASAF ungefutwa kwa nchi nzima

Mradi wa TASAF ungefutwa kwa nchi nzima

ALU255

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,089
Reaction score
2,126
Huu mradi wa TASAF wa kugawa pesa kwa kaya masikini uangaliwe kwa jicho la tatu kiukweli hatuwezi kuondoa umaskini kwa kugawa pesa hakuna nchi iliyofanikiwa kuondoa umaskini kwa kufanya hivyo serikali ingepaswa kutumia hizo pesa kwa kuandaa fursa na kuwafundisha ujasiriamali kaya husika lakini kwa kugawa pesa naamini ni kuwalemaza na kuzidi kuzigandamiza kaya masikini Leo nimesikia RC wa Simiyu kazuia huu mradi mkoani mwake ningependa ufutwe nchi nzima.

Usimpe mtu pesa mpe njia za kutafuta pesa bhana
 
Huu mradi wa tasaf wa kugawa pesa kwa kaya masikini uangaliwe kwa jicho la tatu kiukweli hatuwezi kuondoa umaskini kwa kugawa pesa hakuna nchi iliyofanikiwa kuondoa umaskini kwa kufanya hivyo serikali ingepaswa kutumia hizo pesa kwa kuandaa fursa na kuwafundisha ujasiriamali kaya husika lakini kwa kugawa pesa naamini ni kuwalemaza na kuzidi kuzigandamiza kaya masikini Leo nimesikia RC wa Simiyu kazuia huu mradi mkoani mwake ningependa ufutwe nchi nzima.
Usimpe mtu pesa mpe njia za kutafuta pesa bhana
Naunga mkono hoja. Kuna watu wengi hawana sifa za kaya maskini wanapata hizo fedha. Na kuna vitu vya ajabu vinavyoendelea zinapofika kwenye mitaa takukuru wafuatilie hizi hela
 
Conditional Cash Transfers zimefanyika na kufanikiwa kwenye baadhi ya nchi na bado miradi kama hii inaendea kwenye nchi hizo kama Brazil na Mexico.
Walioleta mradi kama huo hawakukosea.

Pia, jaribu kusoma malengo, mafanikio na changamoto za Tasaf 1&2. Halafu uje na blah blah zako.
 
hizo hela ni za World Bank hhah wanazitoa kwa maelekezo. Unazuia halafu inakuwaje sasa
wangeangalia namna nyingine ya kuzitoa ila sio kwa staili ya kugawa kama hivi wanapewa wengine sio kaya masikini kabisa unaangalia watu wote wana nguvu AF wanasema kaya masikini
 
Conditional Cash Transfers zimefanyika na kufanikiwa kwenye baadhi ya nchi na bado miradi kama hii inaendea kwenye nchi hizo kama Brazil na Mexico.
Walioleta mradi kama huo hawakukosea.

Pia, jaribu kusoma malengo, mafanikio na changamoto za Tasaf 1&2. Halafu uje na blah blah zako.
mkuu kwa staili hiyo mtahangaika miaka yote hamtafanikiwa kuuondoa umaskini mi nakwambia umasikini hauondolewi kwa staili hiyo mtu unampa ela Leo anaenda kununua chakula wiki moja imeisha lakini ungempa mbinu za ujasiriamali angetengeneza mwenyewe hizo pesa
 
Naunga mkono hoja. Kuna watu wengi hawana sifa za kaya maskini wanapata hizo fedha. Na kuna vitu vya ajabu vinavyoendelea zinapofika kwenye mitaa takukuru wafuatilie hizi hela
Huu mradi nahisi kuna watu wananufaika nao kweli kuna umuhimu TAKUKURU iingilie kati
 
Huo mpango unawasaidia watu wengi kuna vikongwe na hata walemavu huyo rc wa simiyu anatafuta sifa bila kutafakari
Hiyo ela unayompa huyo kikongwe utaendelea kumpa hadi lini?what if ungemwazishia mradi akawa anaingiza mwenyewe pesa huoni kama ingesaidia zaidi
 
Wanasema usimpe mtu samaki, mpe ndoana ikiuma akajivulie mwenyewe.
Exactly, nashangaa wanaounga mkono huu mpango sijui wataendelea kuwapa pesa hadi lini
 
wangewaendeleza vijana kwa kuwapatia mradi wowote katika hizo kaya masikini ili hao vijana wasaidie ndugu zao nadhani baada ya miaka kadhaa chini ya uangalizi wao umasikini utapungua hili la kugawa Fedha umasikini haupungui ila unaongeza utajiri kwa Wagawaji...
 
Kwani hamjaacha tu kula?
Kuacha kula hizo pesa haiwezekani.... Ni mradi wa kipuuzi ila kuna watu nilishaona wanazipiga sana... Tena kwa macho yangu , sio kuambiwa..
Wanaogawa ni ccm (kwa hiii kata yangu) so wakimaliza kugawa , wakirudi home wanajisifiaga "ooh mi leo nimepiga laki na nusu, maraa oohh mie laki" yan upigaji never kufa nchii hii..
NB:hao makada naishi nao mjengo mmoja...
 
Unafikiri hayo unayofikiri wewe wenzako hawajayaona hadi waone hilo la kuwapa fedha? Ukweli hilo la kuwapa fedha limesaidia sana kuinua kaya masikini na tayari ktk yale maeneo yalioanza mpango huo wengi wemeweza kujiendesha kwa kujianzishia miradi mbalimbali kama ya ufugaji n.k, eti unahoji watapewa pesa hadi lini! kwako kupewa pesa wanasiasa kama ruzuku unaona sawa lakini kupewa watu masikini unaona shida
Mkuu nadhani hujaona madhara ya kuwapa ppesa au na wewe utakuwa ni mmoja kati ya wapiga pesa wa nchi hii lakini kiukweli ipo siku huu mpango utapofutwa ndo utasadiki mawazo yangu
 
Kuacha kula hizo pesa haiwezekani.... Ni mradi wa kipuuzi ila kuja watu naona wanazipiga sana... Tena kwa macho yangu , sio kuambiwa..
Wanaogawa ni ccm (kwa hiii kata yangu) so wakimaliza kugawa , wakirudi home wanajisifiaga "ooh mi leo nimepiga laki na nusu, maraa oohh mie laki" yan upigaji never kufa nchii hii..
Yani kuna watu kweli wanapiga na wengine wanatetea mpango uendelee yani hii nchi kuacha hizi ishu labda raisi awe malaika
 
Back
Top Bottom