Kampuni Binafsi ya Upelelezi Ya kwanza kutokea Africa

Kwa nature ya hiyo kazi lazima kampuni iwe credible...inaweza ikaleta balaa kama mapaa ndio wamiliki. Wanapora kwa mbele kwa nyuma wanajifanya wanachunguza.
About us
Spotlight is a Consultancy Company
We have all the professionals.
1. Lawyers, in case it is a legal issue,
2. Auditors
3. Engineers for the Construction checking
4. Architectures
5. Expert Investigators
6. Doctors for medical investigation
Management Team
1. Kelanga, D.M. Managing Director, LL.M (Hons). In Corporate law.
2. Mauki, C. Director, PhD holder in Social Relationship and Counseling Psychology
3. Kaiza, R. Director, LL.B (Hons).
4. Fadhili L, Company secretary, LL.B (Hons) Advocate
Physical Address:
P. O. Box 10739
Dar es Salaam
Onset House,
Plot No. 53
Mbezi Beach - Jogoo
 
Wazo zuri lakini mmeweka vitu vingi visivyo na msingi, mngejikita kwenye sehemu moja ingeua vizuri zaidi, kama uhakiki wa umiliki maeneo au nyumba zinazouzwa.
About us
Spotlight is a Consultancy Company
We have all the professionals.
1. Lawyers, in case it is a legal issue,
2. Auditors
3. Engineers for the Construction checking
4. Architectures
5. Expert Investigators
6. Doctors for medical investigation
Management Team
1. Kelanga, D.M. Managing Director, LL.M (Hons). In Corporate law.
2. Mauki, C. Director, PhD holder in Social Relationship and Counseling Psychology
3. Kaiza, R. Director, LL.B (Hons).
4. Fadhili L, Company secretary, LL.B (Hons) Advocate
Physical Address:
P. O. Box 10739
Dar es Salaam
Onset House,
Plot No. 53
Mbezi Beach - Jogoo
 
fanyeni mambo haya ili kujijengea jina kama homorapa

chunguze ni vyeti vya wale wote waliokuwa wanatiliwa mashaka

chunguzeni kesi zidi ya mbowe

chunguzeni kesi zidi ya lema

chunguzeni kesi zidi ya mama mjana aliemlilia magu

alafu hii mkiifanya mnaweza pata kazi nyingi sana "mtafuteni ben saa 8 mkifanikiwa hili nahisi mtakuwa ni nusu ya FBI
 
The company possess various professionals, including, professional investigators who are retired police officers, experienced lawyers, medical doctors, forensic experts, engineers, architects, auditors, psychologists and counselors in case of all family and social issues.
The company objectives are:
1. To investigate on academic credentials and personal behaviors on individuals before and after employment (To conduct a background check on prospective employees and all matters that requires investigations to the existing employees)
2. Investigate on financial status of mortgagees, matrimonial issues and other securities.
3. Investigate on hire commercial and business malpractices from individuals and corporate bodies, both locally and internationally, as well as issues related to cybercrimes.
4. Investigate on abuse of human rights, terrorism and illegal immigrants.
5. Investigate the use of trademarks, patents rights and copyrights and give a report.
6. Investigate on investors both locally and internationally.
7. To conduct investigations in social, family and marital issues,
8. Investigate before buying land, as to whether the seller has a legal title in the land, and after buying the said land.
9. Investigate on whether the procedure to acquire birth certificate was properly followed.
10. To investigate on the abuse of employees.

AFRIKA? YA KWANZA? KWELI? DO YOUR RESEARCH WELL.
 
Mkuu tukikubaliana na hayo mambo na ukafanya kulipia sisi hatuna budi kufanya kazi ulizozitaja karibu
 
AFRIKA? YA KWANZA? KWELI? DO YOUR RESEARCH WELL.
Ni ya kwanza kitofauti na kazi tunazofanya ila sio ya kwanza kwa kuwa private Invastigation company in africa kuna wenzetu wapo ila hawafanyi kama tunayofanya sisi ndio maana imkuwa ya kwanza africa Mkuu ila sio ya kwanza kwa mtazamo uliochukulia wewe
 
The company possess various professionals, including, professional investigators who are retired police officers, experienced lawyers, medical doctors, forensic experts, engineers, architects, auditors, psychologists and counselors in case of all family and social issues.
The company objectives are:
1. To investigate on academic credentials and personal behaviors on individuals before and after employment (To conduct a background check on prospective employees and all matters that requires investigations to the existing employees)
2. Investigate on financial status of mortgagees, matrimonial issues and other securities.
3. Investigate on hire commercial and business malpractices from individuals and corporate bodies, both locally and internationally, as well as issues related to cybercrimes.
4. Investigate on abuse of human rights, terrorism and illegal immigrants.
5. Investigate the use of trademarks, patents rights and copyrights and give a report.
6. Investigate on investors both locally and internationally.
7. To conduct investigations in social, family and marital issues,
8. Investigate before buying land, as to whether the seller has a legal title in the land, and after buying the said land.
9. Investigate on whether the procedure to acquire birth certificate was properly followed.
10. To investigate on the abuse of employees.

Spotlight is a Consultancy Company
We have all the professionals.
1. Lawyers, in case it is a legal issue,
2. Auditors
3. Engineers for the Construction checking
4. Architectures
5. Expert Investigators
6. Doctors for medical investigation
Management Team
1. Kelanga, D.M. Managing Director, LL.M (Hons). In Corporate law.
2. Mauki, C. Director, PhD holder in Social Relationship and Counseling Psychology
3. Kaiza, R. Director, LL.B (Hons).
4. Fadhili L, Company secretary, LL.B (Hons) Advocate

Physical Address:
P. O. Box 10739
Dar es Salaam
Onset House,
Plot No. 53
Mbezi Beach - Jogoo
Ni kwa mujibu wa sheria gani?
 
Mkuu nimekuelewa
Jina: Spotlight investgation
ofisi: zipo Onset House plot no: 53 Mbezi beach Jogoo Dar es salaam
imeanza hivi karibu
Vitu tunavyofanya: 1.Kupeleleza kwa kina eneo unalotaka kujenga makazi/Biashara ili kuepuka kuvunjiwa na madhara mengine kama migogoro ya ardhi n.k
2.Kuchunguza kitu unachotaka kununua kama hakina shida yoyote mfano Gari nyumba na mengine mengi
3.kumchunguza unaetaka kumuoa/kuolewa na taarifa zake za kina tangu ana zaliwa
4.Kumpata na kumfahamu mtu aliekufanyia mabaya au kukutapeli
5.kwenye mahusiano pia alikadhalika na mengine mengi unayohitaji
nyie ni shilawadu sio investigators
 
Naona hamna mtaalam wa IT (Cyber Security Consultant or Cyber Forensic Consultant). Mwanzo mgumu, lakini itabid mlifikirie hilo huko mbeleni.
 
Wapo mkuu hatujataja kila mlengwa ila wapo zaidi ya hao.
 
Makanjanja hawa, wataalamu wa Forensic Investigation mmewatoa wapi?
 
Ikitokea inahitajika tutafanya. mkuu
Lemme tell you something guys!!! Hizi issue sio common huku kwetu so, kama mnahitaji kukubalika kirahisi; start with pro bono projects... there're a lot of them outta there!!

Mkifanya 2 or 3 pro bono projects with your own resources na zikatoa positive results; trust me, mkishaziuza hizo projects kwenye media, kitakachofuata hapo ni series of deals!!

Ongezeni na espionage product lakini ipeni jina lingine manake espionage ni illegal.

I hope sio scam!!!
 
Ni ya kwanza kitofauti na kazi tunazofanya ila sio ya kwanza kwa kuwa private Invastigation company in africa kuna wenzetu wapo ila hawafanyi kama tunayofanya sisi ndio maana imkuwa ya kwanza africa Mkuu ila sio ya kwanza kwa mtazamo uliochukulia wewe

Nimekuelewa ndugu, it will help, ila mh pia itavuruga mahusiano, devorce rate Europe and other developed countries ni kubwa kwa sababu ya advancement ya vitu kama hivi. But anyway, is good.
 
Back
Top Bottom