Recent content by Jovegg

  1. Jovegg

    President's Delivery Bureau (PDB) - Employment Opportunities

    Mmmmmmhhhh najanga haya.Ngoja tusubili zakwetu za uzoefu wakukaa vijijini.
  2. Jovegg

    Ituongoze itulinde na ituunganishe

    Katiba mpya yafaa kuwa ndio dereva wa maisha yetu watanzania kufikia malengo yetu ya kimaisha. Isitoe mwanya kwa wanasiasa kuwa na nguvu.
  3. Jovegg

    Ituongoze itulinde na ituunganishe

    Katiba mpya yafaa kuwa ndio dereva wa maisha yetu watanzania kufikia malengo yetu ya kimsisha
  4. Jovegg

    TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    Kile chuo cha kata chatoa tena three best students am among of them.Pondeni tena
  5. Jovegg

    TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    MUCCOBS kidedea tena CPA wanafunzi watatu best student.Mlimani mpooooooo......
  6. Jovegg

    Hatimaye Precision Air yashusha bei, DAR - KIA 199,000 VAT Inclusive.

    Ukichelewa imekula kwako,usubiliwe na mwingine asubiliwe mpaka ijae ndo iondoke.Imekuwa daladala?
  7. Jovegg

    Sifa za waenda vyuo:.......

    Udsm wakukrem na kucreate mgogolo na kukidropisha chuo. Badala ya kukiap grade. From 13 rank in Africa up 2 somewhere in hell. Vilaza wamejaa huko duuuu. Haya chei chei
  8. Jovegg

    Mume Mvivu

    Hata mie
  9. Jovegg

    Bar ya Macheni ilioko Magomeni Mapipa imevunjwa ovyo ovyo

    Utawapata shuga lei au kimboka buguluni. Wenjoo usianze kupiga kelele.
  10. Jovegg

    Mauaji ya Mwangosi, sakata la Ulimboka na MwanaHalisi kulipukia TGNP

    Haaaaaaa haaa. Ucnichekeshe uchanga wa nchi nini South Afrika na South sudan ndo nchi changa. Sumbua akili. Adam smith anasema, Changes is unavoidable,if there is no changes no development. All who not accept movement 4 changes has stagnant mind.
  11. Jovegg

    Mzee bahili

    Hiyo kwali
  12. Jovegg

    Kazi za bayport

    :yawn: :nerd: :rant: :bolt: :spy: :director: :yawn: :hat: :alien: :redface: :eek2...
  13. Jovegg

    Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

    RIP Matonya
  14. Jovegg

    Tutakuwa free riders mpaka lini?

    Jamani wa tanzania jukumu la kufanya mabadiliko hayapo mikononi mwa mtu yoyote zaidi ya wewe mtanzania mwenyewe. Hulka ya kusubiria politicians ndo watu ongelee, tutaendelea kulalamika mpaka dunia ifike mwisho. Tusiwe free riders jamani. Take action
Back
Top Bottom