Sifa za waenda vyuo:.......

Sifa za waenda vyuo:.......

Status
Not open for further replies.
wanaosoma elimu ambayo iko "updated" yaani elimu inayoendana na wakati .... USA, UK
 
umenena mkuu maana wengine wanahisi kusoma chuo chenye jina basi na wao wataonekana wana akili sana kumbe wengine ni vilaza wa kutosha na kila semester wana sup

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Chimala Mbeya.
 
acheni ubaguzi mbona sisi wa tengeru community development college hamjatuweka! kwikwi kwi!
 
umenena mkuu maana wengine wanahisi kusoma chuo chenye jina basi na wao wataonekana wana akili sana kumbe wengine ni vilaza wa kutosha na kila semester wana sup

Siku zote najua haya ni maeneo yako!
 
na sisi wa chuo cha nyuki arusha je?vp wale wa datastar college nao wana sifa gani?
 
Naskia wa udom huwa wanaambiwa na wazazi wao wasome sana ili nao wachaguliwe udsm...
 
Mkuu mapovu ya nini? Au umesahau ni jukwaa la utani?

We lazima utakuwa kwenye kundi la waliokosa vyuo kabisa
 
Udsm wakukrem na kucreate mgogolo na kukidropisha chuo. Badala ya kukiap grade. From 13 rank in Africa up 2 somewhere in hell. Vilaza wamejaa huko duuuu.
Haya chei chei
 
Udsm wakukrem na kucreate mgogolo na kukidropisha chuo. Badala ya kukiap grade. From 13 rank in Africa up 2 somewhere in hell. Vilaza wamejaa huko duuuu.
Haya chei chei

We kama siyo wa UDOM basi utakuwa RUCO kwa waliokosa vyuo kabisa
 
wa dar institute of technology tupo unatusemeaje cc
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom