Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

Alikuwa anawakilisha mamilioni ya watanzania maskini na fukara, Hakuwa na woga wala aibu kukaa barabarani kuomba pesa.

Tofauti ya kwake na pacha mwenzie anaeishi Magogoni kwenye majengo makubwa meupe, Matonya alikuwa anaombaomba ndani ya nchi yake wakati pacha mwenzake alikuwa anaombaomba kwenye nchi za watu.

Wote wawili watakuwa kwenye vitabu vya historia za nchi yetu na duniani kwa kumbukumbu za vizazi vijavyo.
 
Mungu amekupenda zaidi ya sisi tulivyokupenda, pumzika kwa amani kamanda
 
alijizolea umaarufu sana kuliko J.k,... RIP MATONYA,
mazishi ya mtoto wa mengi na kanumba yalihidhuliwa na serikali nzima na viongozi wote walitoa heshima zao! Sasa tuone mazishi ya matonya yatakuwaje? binadamu wote ni sawa na africa ni moja! waziri mkuu na naibu makamu wa raisi wa zamani bado hawajaonekana Bahi mpaka niandikapo habari hizi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ombamba maarufu kuliko wote Nchini Tanzania maarufu kwa jina la Matonya amefariki duniani usiku wa kuamkia jana kijijini kwake mpamantwa wilaya ya bahi mazishi yatafanyika leo jumamosi saa 1o jioni kijijini hapo
 
Sahihisho kidogo: Siyo kweli kwamba kila nafsi itaonja mauti!!! Enock na Elijah walichukuliwa kwenda mbinguni wakiwa hai hawakuonja mauti na siku Yesu mwana wa Mungu aliye hai atakaporudi wafuasi wake watakao kuwa hai siku hiyo hawatakufa bali watanyakuliwa mawinguni bila kuonja mauti. Believe in him who gives life, he came so that they may have life and have it more abundantly[/QUOTE]
ndugu hebu nipe huo mstari niusome vizuri wa enock na elijah
 
Mkuu kumleta mareehemu matonya kwenye jukwaa la siasa????????
Nadhani ban zimepungua siku hizi
 
Mzee Y. Makamba ndio aliyemkimbiza Dar Marehemu

Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu pahali panapostahili
 
Back
Top Bottom