Hiyo timu ni hatari, mbona hujamtaja Sethiel?? Then Mzee wa Taxation, Muhandeni bila kumsahau Mtaalamu wa Uchumi Kimambo.... Na Prof. Msanga, mzee wa Sheria
Yani waache kuchukua vipanga wa udsm,mzumbe,ifm,tia na Iaa..wakachukue watu wanaosomea mambo ya ushirika?
mawazo ya kimasikini yatawamaliza nyie...mpaka leo mnashabikia kuajiriwa?
unajua wewe ulieleta huu uzi unaakili za kizee sana. we unafikiri kusoma chuo flani ndio candidate anakua na sifa zaidi...sasa kwa taarifa yako hata hapa tz muccobs haiko kwenye top 50 ya vyuo
Labda kama ni Kilimanjaro Community Union na siyo TRA.
umeona eeeeee, mbona zile post zilizopita graduater wa TIA kibao tu walichaguliwa na sasa wapo makazini issue ni GPA na sio umemaliza wap.
Nafasi za kazi zilizotangazwa na TRA watakachukuliwa kutoka chuo cha Moshi
Smile ebu kam zis wei tuongee kuna mengi in common aisee.kumbe na wewe ..mama mwende ni noma...wacha waseme ila tunapeta ..hata mimi nipo kwenye taasisi kubwa tu hapa nchini na intake yangu muccobs tulichukuliwa 4 post zilikuwa 10...ofsin tupo muccobs kibao mkuu
hilo la pr ufunguo niliambiwa kaka...yule kijana wake wa kcmc alikuwa anatumega sana chuo paleSmile ebu kam zis wei tuongee kuna mengi in common aisee.
Sasa ulifahamu kwanza prof. Ofunguo alifariki ama ww hukumkuta?
Mzee Donge? Dr. Mwende aliwaimbishaga nyimbo nyie??? Duh....
vyeti vyenyewe vimeandikwa suaWewe mjinga kweli MUCCoBS ni constituent college ya SUA kama sua ni namba1 kwa ubora na MUCCoBS nayo ni ya kwanza kwa ubora