Recent content by Joumar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Kuna jamaa anaelekea jalalani saizi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi marehemu alirudi kuniaga

    siku nyingine atakuja akuchukue muende wote mkaiosome biblia mkuu, jiandae
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida ya kutumia tangawizi katika mwili wa binadamu

    Bila shaka inasaidia na nguvu za kiume
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy J2 Pro

    wakuu napenda kuuliza kuhusu simu tajwa hapo juu, uwezo wake (kitaalam), je zimeshaingia hapa kwetu?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri Dar to Mbeya

    Asante mkuu kwa ushauri
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri Dar to Mbeya

    Kabisa mkuu kwa basi nadhani nitajifunza mengi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri Dar to Mbeya

    Jumapili iwe njema kwenu wakuu, siku za hivi karibuni natarajia kwenda Mbeya kwa mapumziko madogo, je, ni kampuni gani nzuri na uhakika ya mabasi kwenda huko. Karibuni
  8. J

    JamiiForums Tanzania VEVO wamemtimua diamond hauzi

    Harmonize na Rayvanny wameimba wimbo gani wa kiingereza..!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Maajabu 10 ya CHADEMA na viongozi wake

    namba 7 na 9 nimezielewa zaidi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Mbeya umeonekana, Ramadhan Kareem to all Muslims
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania haimo katika orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa wasomi duniani

    nchi za Afrika zipo ngapi kwenye hiyo orodha
  12. J

    JamiiForums Tanzania Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Bangi mbaya sana, hasa kwa mtoto wa kike
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

    mradi wa nini mkuu, flyover, standard gauge au nini
Back
Top Bottom