J Joumar Member Joined Oct 29, 2015 Posts 48 Reaction score 45 Jan 23, 2018 #1 wakuu napenda kuuliza kuhusu simu tajwa hapo juu, uwezo wake (kitaalam), je zimeshaingia hapa kwetu?
T tiku JF-Expert Member Joined Oct 31, 2015 Posts 441 Reaction score 259 Jan 25, 2018 #2 Vitu vya maana watu huwa hawajibu Lakini uliza vya kaparakumsenga na Mbogioni uone wanavotiririka
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,211 Reaction score 44,174 Jan 25, 2018 #3 sijaziona hapa kwetu ila kama inauzwa chini ya 250,000 ni simu nzuri hio soc yake sio mbaya na ram ya 1.5gb ni better than 1gb.
sijaziona hapa kwetu ila kama inauzwa chini ya 250,000 ni simu nzuri hio soc yake sio mbaya na ram ya 1.5gb ni better than 1gb.