TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
1. Kuwatetea wanaCCM waliopewa adhabu kuliko wanaCCM wenyewe kiasi cha kutoa cheo cha ushujaa kwa wanaofukuzwa ama kupewa adhabu kutokana na kwenda kinyume na chama cha CCM.
2. Wanamchukia Prof Ibrahim Lipumba kuliko hata wana CUF wenyewe kiasi cha kutamani kutumia nguvu kumuondoa madarakani, nadhani hii ni kwasababu Maalim Seif anacheza ngoma za CHADEMA.
3. Hakuna mbunge wa viti maalum asiye na mvuto wote ni warembo wenye mvuto wa hali ya juu , kuhusu upatikanaji wao ni siri ya m/kiti na wadau wake .
4. Kuongea kwa sauti kali kwa kufoka na vibwagizo vya matusi ni ishara ya kuwa kamanda imara , matusi ni sehemu ya ukakamavu CHADEMA.
5. Hakuna tukio wanalotaka lipite bila kufanya siasa iwe msiba, majanga , ujambazi lazima iwe fursa ya kisiasa kwao .
6. M/kiti wa chama ni mfalme mawazo yake ni hakuna kuyapinga zaidi ya kutekeleza .
7. Lowassa ni muhimu kuliko wanachama wote CHADEMA kama unaipenda CHADEMA anza kumpenda Lowassa.
8. Pamoja na mapato makubwa hawana ofisi na hawana mpango kujenga ofisi hii ni kwasababu m/kiti ana 10% kwenye malipo ya kodi.
9. Ni kosa kuhoji elimu ya m/kiti wao MBOWE lakini ruksa kushambikia elimu za viongozi wa vyama vingine, ukitaka mwisho wako CHADEMA uliza Taaluma ya Mbowe.
10. Wanalalamika katiba ya CCM kumpa fursa JPM kugombea urais 2020 wakati wanasema hakubaliki , badala ya kufurahia kushindana na mgombea asiyekubalika wanaishia kulalamika.