Recent content by joto la jiwe

  1. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwahiyo SGR to Malaba imekamilika hivi Sasa mnageukia ya Ethiopia?, Nothing can work in a failed states, Kenya and Ethiopia all are failed states mainly due to tribalism on both countries.
  2. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Exports za Tanzania zimepita za Kenya hasa kwenye "Manufactured goods" ndani ya miaka miwili iliyopita
  3. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ethiopia imekua nchi ya hovyo sana, ukabila haujawahi kuiacha nchi yoyote salama," Kenya is next".
  4. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://nation.africa/kenya/counties/laikipia/laikipia-tuk-tuks-now-rotting-away-4331900?fbclid=IwAR05Cx7gi1O9cS9a0blGwbDs0y_7Z_5YxAKPOlBG9KTQaJa4F6hs6zukhNQ
  5. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahahaha, ninyi watu mpo na shida sana, Shilingi ya Kenya ikianguka " is a good thing", lakini Shilingi ya Tanzania ikianguka" that is very bad thing".
  6. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mkuu, hapa tunajadiliana kwa uwazi, chagua eneo ambalo wewe hukubaliani nalo na utoe hoja zako mbadala watu wazisome mwenye kuchangia achangie, Sasa ukitaka tushindane kwenye Elimu itasaidia nini?, Japo ninajua hufikii hata robo ya elimu niliyokua nayo, muhimu sio vyeti, muhimu ni maarifa, weka...
  7. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mkuu, haya ni mawazo yako hata Kama sio kweli lakini ni lazima tuyaheshimu.
  8. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mkuu, unaweza kutaja mchango wa ToTal Energy kwenye uchumi wa France?. Mali zote za Total Energy duniani kote hazifikii hata 1% ya uchumia wa France, achilia mbali Kodi na mapato mengine yatokayo TOTAL Energy kwenda katika serikali ya France. Kwa ufupi hilo kampuni kwa uchumi wa France ni sawa...
  9. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Afrika sisi ni watu wa ajabu sana, sheria tumejiwekea wenye kwamba tuheshimu utawala wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wetu kwa njia za kupiga kura, tukakubaliana kwamba tusikubali Wala kuruhusu mapinduzi ya Kijeshi, lakini inapofika wakati wa kusimamia maamuzi yetu wenyewe, tunasema hao...
  10. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    [emoji13][emoji13][emoji13]
  11. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hiyo haizuii nchi kuwa na maamuzi yake, hasa nchi tajiri ambazo zimejitosheleza
  12. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwahiyo sio nchi 4 Kama unavyosema wewe, au hizo nchi nne umezitoa wapi?. Hivi Sasa wapo hatua ya pili, hivi unavyosema, nchi 7 zote za ECOWAS zilizohudhuria Jana zinachangia wanajeshi katika hiyo "standby force", hivi Sasa tayari vifaa vya Kijeshi na wanajeshi kutoka nchi za ECOWAS wanaelekea...
  13. joto la jiwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahahaha, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Waarabu na haki za binadamu wapi na wapi?, wanawake hadi leo hata kuendesha gari hawaruhusiwi, hawaruhusiwi hata kupiga kura, sembuse ushoga. Ndio sababu umekaza shingo kuliko mtu yeyote...
Back
Top Bottom