Wadau siyo vzr kuanzisha maada tofauti kwenye uzi wa mtu, lakini naomba maelekezo kuhusu hizi guta za kichina zinazotumia umeme bei zake na ustahimilivu wake pamoja na changamoto zingine na kama kuna maelekezo ya ziada yatanifaa zaidi! asante
Mwanangu watu wengi wanadai mkoani ndo inakua haraka sana kuliko dsm kwa sababu dsm watu ni wengi kuliko mkoa sijajua wewe ni sababu gan zimefanya ichukue muda wote huo
Mttalam mbona inafunguka mimi binafsi nasubili miezi mitatu ipite lakini kuna jamaa zangu ambao walitakiwa kupewa ndani ya mwezi wameshapewa na kuna jamaa yangu mwingine kajaza online alipomaliza tuu ndani ya siku tatu wakamwita kwenda kuweka dole gumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.