Anaandika Sam Ruhuza kukosoa mfumo wa Teuzi kuwatenga Wananchi wa Wilaya ya Ngara.
Ndugu zangu Wanangara!
Nimetafakari sana hizi teuzi serikalini, kuna sehemu sizielewi, mnisaidie!
Ngara kuna watu ccm kwelikweli na vijana wengi wasomi tu, lakini kwenye teuzi, hauwaoni, lakini...