Recent content by Joseph mnzava Dickson

  1. Joseph mnzava Dickson

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Trump kwa hapo umeshashinda wanyooshe haoo hiyo ndio democracy hahaha sio kule kwao nanilii
  2. Joseph mnzava Dickson

    JamiiForums Tanzania Umoja na mshikamano kwenye taifa ni nguzo ya maendeleo

    Naamini Mh rais atanioa
  3. Joseph mnzava Dickson

    JamiiForums Tanzania Umoja na mshikamano kwenye taifa ni nguzo ya maendeleo

    Mm hilo silijui ila RAIS kafanya mengi mazuri sana
  4. Joseph mnzava Dickson

    JamiiForums Tanzania Umoja na mshikamano kwenye taifa ni nguzo ya maendeleo

    Mimi natoa rai kwa vyama vya siasa vyote nchini tushikamane tuwe kitu kimoja tuendeleze Taifa letu Tanzania. Sisi ni wamoja tusitengane kisa tofauti za kisiasa ambazo tuliletewa na wazungu... Naomba Mh Rais wetu Mh John pombe Magufuli utuunganishe..... Kaa meza moja na hawa wanaoanzisha UKUTA...
  5. Joseph mnzava Dickson

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

    CV nzuri sana na anajua kuongea
  6. Joseph mnzava Dickson

    JamiiForums Tanzania Muamuzi Mkuu wa Idara ya Kazi (CMA) Arusha ni Jipu

    We uliyetoa hiyo tuhuma una chuki binafsi na tushakujua so we endelea na uchafu wako but utakua shahidi namba 1 wa hiyo kesi
  7. Joseph mnzava Dickson

    JamiiForums Tanzania Kesi Idara ya Kazi (CMA) Arusha haziishi kwa wakati

    We unayesema Mnzava ni Jipu tunaomba ushahidi ili atakapoenda mahakamani kufungua jalada LA hiyo tuhuma ukawe shahidi mamba moja
Back
Top Bottom