Amani iwe kwenu.
Naomba kuambia umma wa watanzania kwamba Muamuzi Mkuu wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Arusha ndugu Mnzava ni tatizo kubwa kwa wafanyakazi wanaokata rufaa kupinga kuachishwa kwao kazi.
Tatizo la muamuzi huyu ndugu Mnzava, ni kwamba amekuwa akichelewesha kutoa uamuzi wa kesi kwa makusudi ili apatiwe rushwa. Naomba mamlaka zinazohusika zifuatilie jambo hili ili wananchi wanaotafuta haki zao katika chombo hicho cha kutoa haki waweze kupata haki zao kwa wakati.
Haki iliyocheleweshwa ni sawa kabisa na haki iliyonyimwa.
Naomba kuwasilisha.