Recent content by Joseph lebai

  1. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Je, baraka za Mungu ni mafanikio ya kimwili kama utajiri au zipo nyingine tofauti na utajiri?

    Jibu utalipata katika Biblia , Yesu alipopandishwa mlimani na shetani na kuahidiwa Mali ya Dunia kama atamsujudi. Kwa ufupi ni jinsi unavyocheza mchezo wa maisha.
  2. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Sisi Wakristo hatuogopi kufa kwa sababu Uraia wetu ni wa mbinguni siyo hapa duniani!

    Maisha baada ya kifo sio danganya toto kweli? Laiti Karl Marx angefufuka atujuze juu ya "the fear of the unknown". Ukifa ni kama tu inzi anavyokufa.
  3. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Watu kupenda Kununua dawa madukani badala ya kwenda hospitalini, nini sababu?

    Huenda ni kukwepa consultation fees na vipimo.
  4. Joseph lebai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

    Utengenezwe ili utulie na mwanae
  5. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Katoto katafurahi kuagana na wenzake.
  6. Joseph lebai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba mwanaume akifika mshindo ni sawa na nguvu anazotumia kutembea kwa mguu umbali wa kilometa 3 ?

    Ujue huo mshindo, akili inatumika sana.
  7. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kabla ya kununua kiwanja au nyumba, chunguza kwa makini kuhusu uswahili wa sehemu husika. Kama huwezi usinunue, utapigwa kipapai cha kisawasawa.
  8. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika haijawahi kushinda World Cup

    Kucheza mpira sio nguvu na mbio tu, ni pamoja na akili. Wazungu wametuzidi kwa akili.
  9. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Nahisi harufu ya mlenda pori chooni

    Ulikuwa unaoga na jini!
  10. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

    Ndugai, katiba inakuruhusu kuongea, kimya cha nini?
  11. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Ushirikina Migahawani

    Ungechunguza na yale maji ya kuoshea vyombo. Labda nikujuze kidogo "vitu unavyoviona sivyo vilivyo"
  12. Joseph lebai

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

    Yesu alipokuwa anawaombea watu hakudai lolote, imekuwaje mchungaji kudai? Waseme tu ni biashara ya maujanja.
Back
Top Bottom