Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

KIMARA BRIDGE

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
220
250
Kuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za uongo kuhusu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zito kabwe na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais seifu sharifu Hamad kujihusisha na ushoga kwa kumgomania mtu anayejulika Kama Suphian Juma ( ni member wa JF)

Video hiyo imezua utata kwa kuwa mzigwa anasema gazeti hilo lilithibitisha (nitaiweka hapa soon ) kuwa ishu ya ushoga ilikuwa kweli
View attachment 1944504

Tazama video:

View attachment 1944666
hivi hii tanzania nani katuloga???????? hivi ni kweli watanzania wameenda shule???? hivi ni kweli baadaye wajukuu watatuelewa??? ni hayo tuuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom