Zamani "Monastery " ndio chanzo cha Dodoma na gomora, wanajifungia ndani na wanamalizana wao kwa wao. Naunga mkono hoja!! Kuna watoto wa kiume wanaharibiwa ila kwa kuwa ni watu wanaoaminika katika jamii watu wanakaa kimya.
Tendo la ndoa ni hitaji kama chakula, huwezi kukaa mda mrefu bila kula, unautesa mwili mwisho ni vidonda vya tumbo. Kupeana mara kwa mara ni afya na kuzidisha upendo.
Au kwa maneno mengine "yule ambae hajawahi kuingiliwa na mwanaume kwani ubikira unaweza kukatika katika michezo ya kawaida. Vile vile amkute mwanaume ambae hajawahi kumuingilia mwanamke. Hapo maisha yatanyooka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.