Recent content by joseph jjj

  1. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Vinapatikana kwa wingi mkoa gani hivi?

    KANDA YA ZIWA
  2. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Close enough

    Mmmh!!
  3. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Rais wa ufaransa na mkewe

    Ndio maana MUNGU alitoa amri zote lakini alipofika kwenye suala lakuoa au kuolewa, alikaa kimya hakusema lolote kuhusu umri wa kuoa au kuolewa. Kwahiyo ni akili kichwani mwako
  4. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Baada ya bunge live, wasanii, magazeti, sasa Mwakyembe asema mitandao ya kijamii ni hatari lazima...

    ILE YA MAGAZETI ILIZIMWA NA DEREVA WA LORI!!
  5. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Baada ya bunge live, wasanii, magazeti, sasa Mwakyembe asema mitandao ya kijamii ni hatari lazima...

    Kama wewe ulivo na wasiwasi na maisha yako!
  6. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Baada ya bunge live, wasanii, magazeti, sasa Mwakyembe asema mitandao ya kijamii ni hatari lazima...

    HUYU VIPI? MBONA ANATAMANI SANA TANZANIA IRUDI KWENYE MIAKA YA GIZA!? NDIO MAANA KIKI ZAKE ZINATENGULIWA NA KUZIMWA NA DEREVA WA LORI, FYUUUUU!
  7. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

    Anazovuna FREEMANSON atatoa tu, kwahiyo hata TRA wanajua kwamba pesa ipo pale na lazima atoe tu, si anajifanya simba? Ikishindikana wachangishane na kibibi chake Z watoe hizo pesa.
  8. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais na katibu mkuu wa CCM kuhudhuria mazishi Arusha

    KATIBU MKUU WA CCM, MSIBA UMEMTOA JELA!
  9. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Halotel ni wababaishaji siku hizi

    Kweli ikifika saa sita usiku hako ndiko kamchezo kao, sjui wanakuwa wanatuhesabia garama tulizotumia mchana kutwa!!?
  10. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Bunge latoa milioni 100 rambirambi kwa familia za wanafunzi Arusha

    TUNAOMBA RAMBIRAMBI ZIWAFIKIE WALENGWA KWASABABU SERIKALI HII HAINA BREAK KWENYE RAMBIRAMBI!
  11. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Baba na Mama nimeoiona Leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.

    Siyo kila mwanaume anafaa kuwa baba! Na umejuaje kama ndiye baba!?
  12. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Kwa anayoyapitia RC wa Dar kwa sasa bora angejiuzulu

    Alisema hakuna wakumnyamazisha sasa aendelee na mbwembwe zake na jeuli zake tumuone! Alifikili Tanzania yote inatokea KOROMIJE!? Hapa lazima aisome namba kisawasawa, nakuisoma namba siyo lazima uisomeshwe naccm, raia wenyewe wanakusomesha namba.
  13. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

    Huyu bibi nae hajitambui tu
  14. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuombwa hela ya kusukia nywele

    Mmmh!! Kakimbia nduki[emoji87]
  15. joseph jjj

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa TLS wa kutoa matamko mbovu wanasheria mdhibitini Tundu Lissu

    Mbona nyie mmeshindwa kumdhibiti magufuli wakati mlisema mtamdhibiti tulipowaambia kuwa ni DIKTETA hafai?
Back
Top Bottom