+ ndizi sukari/mbivu. ukitaka kujua utamu wa ndizi mbivu; rejea shairi la SIZITAKI MBICHI HIZI-std iii miaka ilee kwa waliosoma enzi za Faiza FoxyKabaragara hako. No sugar no baking poweder just mafuta basi na unga wa mhogo. Ila sijawahi tengeneza nilikula tu saa ya kutoka kanisani na siku ya mjajaro.
si vibama hivi au?
si vibama hivi au?
Unaweza kuchanganya dizi na dona au ndizi na unga wa mhogoKule Ileje wanaita vitumbua. Ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na ndizi mbivu
Umesahau na ndizi mbivu (kanana) zamani zilikua zinakandwa pamoja na unga wa muhogo kwa pamoja.Kabaragara hako. No sugar no baking poweder just mafuta basi na unga wa mhogo. Ila sijawahi tengeneza nilikula tu saa ya kutoka kanisani na siku ya mjajaro.