Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amesema watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania ni wengi sana hivyo mitandao hiyo kama haitadhibitiwa mapema huenda ikaleta matatizo katika nchi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.
"Watanzania ambao wapo kwenye mitandao ni mamilioni kwa sasa, lakini tunachosema tatizo hapa ni matumizi mabaya ya hiyo mitandao, mwanasiasa maarufu wa Marekani nafikiri Clinton alisema mwaka jana kuwa matumizi mabaya ya mitandao ni ugonjwa hatari unaoweza kuteketeza dunia, kwa kweli mitandao ya jamii kama hatujaiangalia vizuri au kuithibiti inaweza kutuingiza katika matatizo makubwa sana" alisisitiza Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe
Chanzo Eatv