Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Kweli naanza kuulewa huo msemo!!
Vinginevyo mtaendelea kukodoleana macho hivyo hivyo na akipata shida anakuomba, angalia usimalize mtaji, mwenzio atasepa ataenda kwa mwingine.
Kweli naanza kuulewa huo msemo!!
Tatizo hayo manywele siyapendi..siwez nikakaa kumsifia mtu..atleast mtu nywele zake aziweke dawa tu!!usipomhudumia wewe nani atamhudumia. watu wananunua hadi PED na maisha yanaenda. sembuse hela ya kusuka. mwanaume mwingine ,anakupa mwenyewe. Baby nyele hizo kabadilishe.
ila inategemea ntunantu.
basi mwambie anyoe. kabisaTatizo hayo manywele siyapendi..siwez nikakaa kumsifia mtu..atleast mtu nywele zake aziweke dawa tu!!
Nakuunga mkono aiseeWakuu sijui kwanini niko hivyo, mwanamke akiniomba hela sijui ya kusukia huwa namuona kama mtu mwenye ufikiri mdogo na naweza nikampotezea mazima!
Yaani katika mambo yote ya msingi na changamoto kibao zilizopo, mtu anakaa huko eti naomba hela nikasuke. Kwangu mwanamke bora aombe tu hela asiseme anaenda kufanya nini, kama mtu anashindwa kuafford kusuka nywele kwanini asizinyoe tu?
Kiukweli mimi sijawahi mpa mwanamke hela ya namna hiyo, sijui kama ni complications zangu tu..ila huwa naona ni issue ambayo ni minor sana!
Atafute mwenye kipara asitake kutuaribia walembo wetu si wengine ugonjwa wetu ndo hayo hayo manywelebasi mwambie anyoe. kabisa
na aache ubahili wake. mwanaume husifiwa kwa kumhudumia mpenzi asione vyaelea.Atafute mwenye kipara asitake kutuaribia walembo wetu si wengine ugonjwa wetu ndo hayo hayo manywele
Mtanzania halisi..swali juu ya swali..hahaaaKwani vepe ina nini
Unachokoza watu. Usipompa pia ni Sawa. Lakini atasuka tuu. Na anaweza asikuombe Hela kabisa na bado akapendeza tuu.Wakuu sijui kwanini niko hivyo, mwanamke akiniomba hela sijui ya kusukia huwa namuona kama mtu mwenye ufikiri mdogo na naweza nikampotezea mazima!
Yaani katika mambo yote ya msingi na changamoto kibao zilizopo, mtu anakaa huko eti naomba hela nikasuke. Kwangu mwanamke bora aombe tu hela asiseme anaenda kufanya nini, kama mtu anashindwa kuafford kusuka nywele kwanini asizinyoe tu?
Kiukweli mimi sijawahi mpa mwanamke hela ya namna hiyo, sijui kama ni complications zangu tu..ila huwa naona ni issue ambayo ni minor sana!
Mmmh!! Kakimbia nduki[emoji87]Mkuu, sasa kama hujaoa na huna mchumba unaombwa pesa ya kusuka na nani tena ?
Ndo ivyo wapo kina nakaya si uwa hasuki aende ukoUmenichekesha ujue mwenda wazimu
we bhana siyo mchumba wala mke!!! ni mchepukoAcha mambo yako wewe mpendezeshe mkeo sijui mchumba
[emoji102] we mwache atapigwa tafu n wahuniAkisuka akapendeza huishi kumsifia, toa hela wewe usipompendezesha mwanamke wako nani sasa ampendezeshe
Inaita pmKwani vepe ina nini