Recent content by joseph ernei

  1. J

    JamiiForums Tanzania Naamka tu nakutana na tangazo hili kutoka kwa wife

    Mbulu.mbunge akonaay wakati mgumu kutetea nafasi yake ya ubunge.apata upinzani mkubwa ndani ya chama chake cha chadema,tetesi nilizopata naye asema atatetea nafasi yake kwa chama kingine kiitwacho ddc wajamaa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT-Wazalendo mkoa wa Dodoma (Tarehe 14 Aprili, 2015)

    Chama cha act wazalendo mlengo wake nini?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Ukombozi hauletwi kwa maneno matamu

    P Srek
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Pesa unazozitumia hivi sasa utazirudishaje?

    Lowassa nakuonea huruma.utarudisha vipi fedha zako?
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kutoa mchumi Roderick Lutembeka, Kumrithi Prof. Tibaijuka

    Mchumi na uwakilishi wa masuala ya wananchi kwa serikali.ni wapi na wapi.ubunge sio ajira mtoa mada.ila ubunge ni dhamana tu ya kuwakilisha wananchi na ushiriki wao katika kupata maendeleo katika jimbo katika nyanja zote za kijamii.kiuchumi.kiutamaduni na hata kisiasa na utatuzi wa matatizo ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

    Nampongeza nape kwa hilo
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

    Ni mamlaka ya kikatiba lakini dr jk ni mbaguzi mbona mimi hajaniteua?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa ni Fisadi: Kwanini Apelekwi Mahakamani Kama Wakina Mramba Na Mgonja?

    Lowassa apumzike tu alee wajukuu zake urais auche tu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora kugawanywa na kuwa mikoa miwili

    Huduma za jamiii jamani ziwafikie wanachi naungana sekretariet ya mkoa kwa mapendokezo yao kuugawa mkoa wa tabora ni mkoa mkubwa sana.wewe ambae unabisha bisheni kwa hoja jamani na so kujibu hovyo kama hamjisikii kuchangia mada Ya msingi kama hiyo ni afadhali ukalale tu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mashangingi yanaenda kufanya nini kwenye uwanja wa vita huko Amboni?

    Huna hoja wewe na wewe ndiyo hakuna unachokijua na sijui uki dunia gani wewe .cha msingi ungenikosoa kwa hoja
  11. J

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mashart ya kurenew namba yapunguzwe vodacom .na gharama za kurenew namba miatano kama Tigo.mfano voda ni 1000/= punguzeni hiyo bei ya kuchonga namba.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mashangingi yanaenda kufanya nini kwenye uwanja wa vita huko Amboni?

    Bado hayajasalimu amri tu hayo magaidi huko amboni? Maana jeshi letu la wananchi wa Tanzania huwa wanalalamika kukaa kambini hadi wanastaafu hata bila kupigana vita na wa hamu ya vita kweli kweli tumeona jeshi letu likienda Kongo na sudani kutuliza ghasia.sasa iweje hilo sakata LA tanga huko...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtanzania mwenye kumiliki kampuni nne ikiwemo ya madini na ndege

    Jamani makampuni haya mawasiliano yanatuibia watanzania jamani kila kukicha wanapandisha gharama za mawasiliano.hivi sasa mb za voda zimeshuka kwa kiwango kikubwa sana ilhali uchumi Wa mtanzania bado haujakua uko pale pale,kwa kweli hakuna mtandao afadhali na majuzi Mh naibu Waziri wa wizara ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu Octoba mwaka huu watanzania tuwe makini

    Uchaguzi Wa mwaka huu binafsi nawataka na kuwaasa wananchi mjitokeze katika kujiandikisha katika daftari LA kudumu LA wapiga kura katika maeneo ambayo mnaishi kupiga kura ni haki yako kama RAIA Wa taifa hili.nenda kajiandikishe sifa uwe na miaka 18 na kuendelea.uwe mtanzania.uwe na akili...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waislamu Waamua kumwaga Ugali baada ya CCM kumwaga Mboga

    Unaleta udini mtoa mada kwani hakuna wakristo waliouawa ktk matukio mbalimbali?
Back
Top Bottom