Recent content by Jose022

  1. Jose022

    JamiiForums Tanzania Tumeingia Dodoma pia; Usihangaike kuchimba mashimo kwa ajili ya choo. Tumia hii hutanyonya,haina harufu na inadumu miaka 50

    Naomba kujua Choo kinapojaa kinyesi kinatapishwa vipi na je mfumo huo unafaa kuwekwa kwa matumizi ya watu wengi kama vile guest house, shule au stand za abiria...pia nijulishwe inachukua eneo la ukubwa gani na je inaunganishwa pamoja na maji ya bafuni?
  2. Jose022

    JamiiForums Tanzania Toyota Passo inafaa?

    Chukua mnyama alteza
  3. Jose022

    JamiiForums Tanzania Hizi nukuu za Mwalimu Nyerere zinawahusu sana CCM

    Nukuu nzuri sana kwa mustakabali wa taifa letu
  4. Jose022

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Wapi alteza gari pendwa
  5. Jose022

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

    Itakuwa hauko sawa au bado unasumbuliwa na utoto hili siyo jambo la kuongea na kujisifia mbele ya watu
  6. Jose022

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu wenye uhusiano

    Mambo haya siku hizi yameshika kasi sana sijui ni kwanini
  7. Jose022

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya bao la fasta

    Asante
  8. Jose022

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Ngoja na Mimi nijipatie like yangu
  9. Jose022

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Vumbi la Kongo linaongeza nguvu wakati wa kufanya mapenzi?

    Mawasiliano please
  10. Jose022

    JamiiForums Tanzania Ushauri:Nataka nifuge paka

    Fuga tu
  11. Jose022

    JamiiForums Tanzania Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Kitu kikubwa kitakachokusaidia kwa sasa ni maombi
  12. Jose022

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvimbe sehemu za siri

    Uvimbe upo pembeni ya uume na siyo kwenye uume
  13. Jose022

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvimbe sehemu za siri

    Uvimbe hauna maumivu upo kwa ndani ni Mdogo sana upo kitu kama mtoki
  14. Jose022

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvimbe sehemu za siri

    Wakubwa salamu natumai mu wazima naombeni msaada wenu ni nini kinasababisha kuwa na uvimbe kwa mwamaume pembeni ya ume na pia ni kitu gani kinasababisha uume kupata majeraha ya michubuko hata bila ya kufanya mapenzi na je tatizo hili linatibika maana nahisi uume unakosa nguvu naombeni ushauri...
  15. Jose022

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

    Chiku Lweno wa itv
Back
Top Bottom