Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Habari zenu wapendwa na poleni na mihangaiko.
Jumamosi iliopita nilienda kwa rafiki yangu na nikakuta wanauza vipaka vyenye takribani wiki mbili toka vizaliwe, Vile vipata vina rangi nzuri na vinavutia sana.
Hapa nilipo bado i am quite convinced i do need a cat hapa napokaa so next week itabidi niende kuchagua nimlete paka kwangu.
Mazingira ya hapa pana nyumba kubwa ya mama mwenye nyumba na kwa nje tupo wapangaji watatu , Nyumba hii ina frnsi ndefu, geti, miti ya matunda, na pia mama wa hapa anafuga kuku wa kienyeji kwa ufupi eneo la hapa ni kubwa sana na lipo fenced.
Mama mwenye nyumba hana shida anaruhusu kufuga pets ila usafi na kumlisha ni juu yako
Je ni mambo gani ambayo ungependa kunijuza kuhusu ufugaji wa paka ???