Dawa ya bao la fasta

wanaume wengi wanaonekana wachovu kwenye suala zima la 6 kwa 6, wanaume hawa ni wale wanaowahi kufika kileleni mapema kabla ya wapenzi wao hawajafika..
Leo naomba nitoe njia za asili kabisa za kupunguza au kumaliza tatizo hili

1. mazoezi
mazoezi ya miguu hasa mapaja yanaeweza kukusaidia kutibu tatizo lako
JINSI YA KUFANYA
simama wima na miguu yako iwe kama alama ya V.. anza kushukuka chini kama vile unachuchumaa then inuka wima fanya hvyo mara 20 kisha pumzika sekunde 10 rudia tena mpaka raund 4. hakikisha unakula sana matikiti maji kula na mbegu zake

2. mbegu za mlonge
chukua mbegu za mlonge zimenye kisha twanga zilainike kama karanga..

JINSI YA KUTUMIA
weka kijiko 1 cha chakula kwenye maji moto au chai fanya kunywa mara 2 kwa siku "asubuhi na jioni"

FAIDA
muda wa kufika kileleni utaongezeka mara dufu au zaidi kufikia hata dakika 20-30

HASARA
inawezekana ikawa kero kwa mpenzi wako kwa sabubu anaweza umfikisha kileleni mapema lakini ukawa ndo kwanza hata dalili za kufika bado..
Msaada tafadhari Mloge Ndio Mmea gani au picha tafadhari
 
Migigoro ya kufikishana kileleni haikuwahi kumuacha binadam salama....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom