Recent content by Jose singo

  1. J

    Mimi ningekuwa Freeman Mbowe ningeachia ngazi kwa amani kabisa

    Ni muhimu aweke upinzani kidogo then Baadae amuachie ili jamii iwe na attention
  2. J

    Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

    check huu uzi ukupe mwanga https://www.jamiiforums.com/threads/nauza-pazia-mashuka-foronya-na-taulo.2108788/
  3. J

    Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

    Apime na kisukari
  4. J

    Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

    There's no limit to dreaming... Ukiona mtoto anaendesha ndege na ukamuulza anataman kuwa Nani "akijibu anataka kumiliki airline hupaswi Mkatalia"
  5. J

    Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Baadhi ya vigezo muhimu vya kuipandsha hadhi aehem
  6. J

    Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

    Kuombwa hela .... Kukopwa hela bila kulipa ukidai kujicjichekesha tuu mwsisho wa siku u found peace......to break even hivo tuu
  7. J

    Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

    Bnafsi sijawahi fuga kuku wa mayai but this december ndo nitaanza
  8. J

    Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

    Wanakula tsh ngp kwa mwez mkuu,,,na unawalisha gram ngp per day wakiwa na miez mi3....tubadirishane ujuz nimeestimate cause chotara 200wa umri huo binafs huwa natumia lak 2 per month
  9. J

    Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

    1500*500=750000 Chakula mwez wa kwanza 79500(broiler starter crumble)x4=318000 Mwez wa pili mchanganyo wa laki 4 Mwez wa tatu mchanganyo wa laki 4 Mwezi wa nne mchanganyo wa laki 4 Antibiotics +chanjo + maji+usafili kwa muda wote miez minne max laki3....sure kwa 2.5m anatoboa Japo io price yke...
  10. J

    SoC04 Upimaji urasimishaji na kutengeneza hati za ardhi na viwanja katika miji mikuu

    Katika dunia ya sasa na kuongezeka kwa kampuni nyingi za upimaji ardhi na kuuza ardhi real estate. Ni fursa kubwa kwa serikali na wizara ya ardhi kufanya jitihada ya kuboresha huduma ya upimaji haswa katika miji mikuu, na kuwapatia hati wamiliki wake ili kuongeza source ya mapato kwa serikali...
  11. J

    Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

    Hili jambo ni mtambuka ... Sio jambo la ajabu agharabu kwa vijana kupitia na kukumbana na hali io + hatia ,inayokufanya utamani kuacha. Ni ngumu sana kuacha hali kama hio ila kama umeweka nia ni rahisi ushauri wangu 1. Review your social life 2.jitahid kumpata mtu mmoja wa kuwa naye katika...
Back
Top Bottom