Wadau nawasalimu kwa jina la Bwana.
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuanzisha mifumo ya kielektroniki kwa ajili ya kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi kwa karibu na kwa wepesi zaidi.
Pili ni kuhusu mfumo wa watumishi wa Umma maarufu kama...
Inasikitisha sana kuona Bunge la Tanzania likipitisha Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kuchangia mifuko hiyo.
Kitendo hicho kitaleta athari kubwa sana kwa watumishi wa umma ambao wanachekelea kupandishwa...
VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA
E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine. Twakuomba katika kuongoza na kutawala, uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema, Hekima na Busara ili pamoja...
VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA:-
E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine.Twakuomba katika kuongoza na kutawala,uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema ,Hekima na Busara ili pamoja...
Habari wanabodi,
Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu pilikapilika za wanafunzi kusoma shuleni. Imekuwepo tabia ya baadhi ya shule kuwabakiza wanafunzi kipindi cha likizo kwa kigezo cha kuwaandaa na mitihani ya taifa.
Kitendo hicho ni kinyume na sera pamoja na miongozo ya elimu inayomuhitaji...
Bodi ya wataalamu na Ufundi wa Ununuzi wa Umma ni miongoni mwa Bodi muhimu zinazosimamia utaalamu hapa nchini.Bodi hii inahusika katika kuhakikisha wataalam wanaosimamia shughuli za Manunuzi hapa nchini wanakuwa na ujuzi pamoja na weledi wa kutosha katika kufanya shughuli za Manunuzi ya Umma...
WATAALAM WA IT TAMISEMI WAREKEBISHE MFUMO MAANA HAUFUNGUI.HATA UKITENGENEZA ACCOUNT LOG IN
NI SHIDA HAIONESHI CHOCHOTE, NAMBA ZA HELP DESK ZOTE HAZIPATIKANI.TAFADHALI LISHUGHULIKIE HILI IKIWA NI PAMOJA NA KUTOA MAELEKEZO NAMNA YA KUTENGENEZA ACCOUNT HASA USERNAME KAMA NI NAMBA YA FORM IV AU MAJINA
CODES ZINAZOTUMWA NA TCU ZINAGOMA KATIKA kuconfirm. Angalia ninavyoambiwa baada ya kuingiza code na kubonyeza CONFIRM
Fail to connect to resources, please check your internet connection or contact help desk !!
Majibu yote ni sahihi,Jf inasaidia kupunguza msongo wa mawazo kwa watu wengi.Yapo mawazo mbadala yanayowasaidia watu kuendelea mbele na kutokata tamaa.
Kipindi chote ambacho jf haikuwa hewani wapo watu waliougua maradhi ya akili.Jf big up
Benki ya NMB mnapaswa kuwa serious kama wenzenu wa CRDB hasa katika kutoa huduma ya salary advance kwa Wafanyakazi
- Mnadai kuwa walengwa(wafanyakazi) hawana vigezo vya kupewa huduma hiyo ilihali kiasi wanachoweza kuchukua kinaonekana wazi.
- Wateja walianza kuhamia kwa kasi CRFB kwaajili ya...
Kwa watumishi wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi, mfumo wa utumishi portal kipengele cha kubadilishana kituo, kilikuwa kinasumbua hasa sehemu za kuingiza mkoa na wilaya zimefungukiliwa.Kwa hiyo watumishi wenye uhitaji wa kubadilishana vituo vya kazi,jazeni mkakutanishwe na wenzenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.