Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 343
Wakati Jamii Forum imetoweka kwa kipindi cha wiki tatu, jamaa fulani wakawa wanabishana kutoweka kwa jamii forum.
Jamaa mmoja akauliza, "Kwani wewe JamiiForums ilikuwa inakuingizia shilingi ngapi".
Tuliona wengi walishindwa kujibu hili swali bila wao kujua hata mimi ni mtizamaji mzuri wa Jamii Forum.
Hebu tuelekezane, tukiulizwa swali hili kama ilivyotokea, tunajibuje?