Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,911
Wanatusema eti tunashindia chipsi mara dada zao hawatupendi , mara round moja chali , wakati dada zao wakija kufanya kazi mjini wanarudi wameshiba kitumbo , tumechoka sana bora tungekua tunasemwa na wanawake lakini wanaume wa mkoani ndio wanaongea sana![]()
hadi watie adabu....TCU hatuendi na tukioenda hatusemi tukichoambiwa,mmezd michambo aisee....njoon dar kwa miguu