Recent content by jos black

  1. jos black

    JamiiForums Tanzania St. Augustine university of Tanzania

    Sikh zote degree haikupatii kazi bali inakupa changamoto za kuweza kutambua fursa na mambo mengine ya Kidunia ndio maana kuna mtu aliyeelimika na asiyeelimika, kuelimika sio lazima uwe na elimu ndio maana utamkuta mtu ana elimu lkn hajaelimika , think twice before post. Sent using Jamii Forums...
  2. jos black

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu ya NASA kwa Uhuru Kenyatta kuhusu kumwondoa madarakani 'rais' Raila

    Hiyo kali ya mwaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. jos black

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ni Upumbavu Kutumia zaidi ya Milioni Mia saba kufanya Uchaguzi wa Madiwani walionunuliwa na CCM

    Ujinga ni hali ya kuwa na uelewa wa jambo Fulani lakini upumbavu ni ile ya kutojua kitu chochote.
  4. jos black

    JamiiForums Tanzania Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

    Mi sijaelewa ulichokiandika acha mbwembwe piga mpira.
  5. jos black

    JamiiForums Tanzania Sheria inayotamka kutaja hadharani makosa ya Rais ni ipi hiyo na ni ya mwaka gani?

    Sheria msemeno hukata huku na huku. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. jos black

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

    Penati sita kwa tano , simba oyee mpira ni mzuri sana faulo zipo chache sana lkn kuna goli limekataliwa la simba kuwa ni offside. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jos black

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara,watumishi wa umma,mmejiandaaje kulipa kiasi 2020? Zamu yenu kuwatumbua imekaribia!!

    Kura ni siri ya mtu acha kutoa mapofu muda bado sana.
  8. jos black

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Sheria ichukue mkondo wake kama kosa amelifanya.
  9. jos black

    JamiiForums Tanzania Tarime: Kamanda wa Polisi ashindwa kueleza Sheria aliyoivunjwa Esther Bulaya kwenda Jimbo lisilo lake

    Ifike mahala sheria ichukue mkondo wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. jos black

    JamiiForums Tanzania Arusha: Madiwani waliojiuzulu watapeliwa

    Elimu ni gjarau ila ujinga ni gharama zaidi.
  11. jos black

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    Elimu ni gharama ila ujinga ni gharama zaidi.
  12. jos black

    JamiiForums Tanzania Ukusanyaji michango ya harusi sasa hivi mbinde balaa,hapatoshi

    Mi naona kuna tofauti kati ya harusi na sherehe. Harusi inaishia kanisani halafu haina bei kama ikiishia kanisani na sherehe inaishia ukumbini na siku zote sherehe ina gharama kuliko harusi , kaa ukijua hivo.
  13. jos black

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Ni kweli unachokisema ! Siku zote katika chumba cha mtihani wa taifa hakuna anayekupa maelekezo kwa sababu kila kitu nipo dhahiri kwenye lile paper cha msingi Msimamizi anafanya kazi ya kuangalia kama ni sahihi mtihani unafanyika bila kuwa na hitilafu zozote zile, kuelewa swali ni moja ya...
Back
Top Bottom