tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Good idea kabisa.Ni bora hizo kamati za harusi wangekuwa wanakaa kupanga bajeti ya kuwasaidia watoto yatima, aidha kuwakusanya watoto wa mitaani kwa kuwaweka sehemu moja na kuwachangia hizo pesa kwani kuna wengine ndoto zao zinakufa kulibgana na kikosa watu wa kuwasaidia hivyo in bora hivyo vikao vya harusi vingekiwa vinakaa kujadili mambo ya msingi kama hayo na sio kufanya harusi za mamiliono kwa kiwaumiza watu na michango isiyo na tija
Sent using Jamii Forums mobile app