Recent content by JORDAN GADI TWARINDWA

  1. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya nguo na mavazi Kibiblia

    Utangulizi; ----------------- Ipo Tofauti Kati ya Nguo na Mavazi.. Kwa Tafsiri Ya Kiroho, sawasawa Na Ufunuo wa Roho Mtakatifu.. NGUO--- GARMENT. MAVAZI--- VESTURE. Nguo ni ile uivaayo ukiwa katika shughuli zako za; Kijamii, Uchumi na Maendeleo.... Lakini VAZI, Ni ile uivaayo ukiwa katika...
  2. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Five types of women's who can't maintain a marriage

    Special Seminar for Youths in Africa. Proveb 14:1 Every wise woman buildeth her house: but the foolish plucketh it down with her hands. 1: The Most Beautiful Women; -It takes holyspirit only to make a beautiful woman to be in a marriage. They are on high demand Many beautiful ladies are...
  3. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Wakati wa kuhubiri au kufundisha kanisani zingatia sana yafuatayo

    1. Ujumbe ulionao uwe na kichwa cha Habari. 2. MAANDIKO utakayosoma yaendane na ujumbe, mahubiri au FUNDISHO unalofundisha MADHABAHUNI. 3. " Bwana Yesu Asifiwe ziwe CHACHE. 4. Kama Ulipanga KUFUNDIDHA dondoo, 7... Halafu ukaona mtiririko umekatika ukiwa pointi ya,4... sitisha KUHUBIRI au...
  4. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalumu Wa Mwalimu

  5. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuyaepuka sana wakati wa maombezi kwenye makongamano na semina

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 =================================================================================== Ujumbe Maalumu Kwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Maaskofu, na Waumini Vituo Vya Maombi na Maombezi Duniani; _______________________________________________________________________________ Ipo...
  6. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Ukijua umechanua, na ukielewa umefanikiwa

    1. SIRI YA UUMBAJI Mwanadamu kabla hajaja Duniani roho yake inaishi na kutunzwa mahali Fulani HUKO MBINGUNI... Inapofika wakati wa kuja Duniani ili uzaliwe, MUNGU Aliye Hai hufanya yafuatayo Ambayo ndio msingi MKUU wa BARAKA ZETU za; Familia, ndoa, UCHUMI, Ustawi, Afya, WOKOVU, na Utumishi...
  7. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Sifa na kazi za Mchungaji wa kanisa, huduma au taasisi ya dini

    Zab 23:1-7, Mithali 3:1-4, Zab 1:1-3, 1Kor 2;6-15, Kut 3:1-9 ========================= Mchungaji aliyeokoka anayeongoza kundi au waumini, ni lazima awe na sifa zifuatazo: i. Awe mfano kwa tabia na mwenendo. ii. Asitamani mali za anasa zitakazo mtoa nje ya kusudi alilopewa. iii. Aepuke fedha...
  8. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Namna Tanzania itakavyo nufaika kiuchumi katika mahusiano yake na nchi ya Romania

    TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania... Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya. Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina...
  9. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
  10. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kila Siku niamkapo, Na kuiona Nuru Njema Ya Jua, NINAFURAHIA KAZI NJEMA NA ILIYOTUKUKA YA KWAKO WEWE MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. 1. ROYAL TOUR imeleta MATOKEO MAKUBWA SANA KIUCHUMI. Na inaendelea kuleta MATOKEO chanya Hadi Wakati Huu ninaandika MAKALA HII. Kwa Sasa Kuna...
  11. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Sayansi katika intelijensia

    Nukuu Ya sayansi Ya Jamii katika intelijensia
  12. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Sayansi katika intelijensia

    Katika maisha, kuna M a i s h a, halafu Kuna MAISHA, mengine MBELE.... Hii ni kwakuwa; Wenye Nchi Wanazaa watawala. Na Masikini Wanazaa ; watumwa. Gari Hilo HAPO Juu limetengenezwa maalumu kwa Ajili ya wenye Nchi na watawala. Ni gari la KISASA Sana lenye Uwezo wa kujilinda na mlipuko wa bomu...
Back
Top Bottom