Recent content by Jophelah

  1. Jophelah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Noted, hivyo tutarajie mazuri march 2024 :/
  2. Jophelah

    JamiiForums Tanzania Njombe: Ahukumiwa miaka mitano jela kwa kosa la ushirikina

    Kwa kifupi hukumu haieleweki, hizi imani zinaharibu sana intelligent things
  3. Jophelah

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Lisemwalo lipo...
  4. Jophelah

    JamiiForums Tanzania Pakistan yatangaza dharura ya kitaifa baada ya mafuriko kuua Watu 937

    Ila mvua za monsoon wanazijua muda mrefu lakini Pakistan kwa ujumla hawajifunzi kupitia jana, jitihadi za kupambana na mvua hizo ni ndogo sana
  5. Jophelah

    JamiiForums Tanzania Kuna upigaji mkubwa kwenye zoezi la sensa mabilioni kwa mabilioni

    Ila si vyema kulalamika, nafikiri kama unautafiti wa kutosha kuhusiana na hilo unaweza kuripoti maana yake kuna sekta husika haina habari au unakusudia kama uko serious kiasi hicho
  6. Jophelah

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Mamilioni hawana maji safi Pembe ya Afrika

    Noted 📔
  7. Jophelah

    JamiiForums Tanzania Vifo vya saratani vinasababishwa na tabia za kimaisha

    Noted 📔
  8. Jophelah

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Guinea afariki akiwa gerezani

    Ikiwa nchi ilichukuliwa kijeshi bwana huyo kuwekwa jela ni neema angeweza kunyongwa muda mrefu, na tukumbuke unapoingia utawala wa kijeshi maana yake katiba huwa haina kazi maana uongozi haupo nahuu ni uhalisia
  9. Jophelah

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Noted 📔
Back
Top Bottom