Recent content by Jongirojo

  1. Jongirojo

    Serikali kuweni macho 24/7 tusije tukawa na vikundi vya uasi kwa huu ubishi wa kila jambo!!

    Mtoa maada umekula maharage mabovu? Sioni maana halisi ya ulicho eleza au misifa ya kijinga
  2. Jongirojo

    Nyalandu acha siasa katika misiba

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jongirojo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ★ 660 - [ 0 / 0 ] - 4.25 - AEK - CLUB BRUGGE Fix[emoji123][emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Jongirojo

    Mama mzazi kauza nyumba ya baba yangu kisha anaishi nyumba ya kupanga

    Nyumba ni kiunganishi cha familia kama ikiuzwa na watu wachache ktk famili manaake umevuruga familia Sizani mama yako anaweza kuuza nyumba ya baba yako bili kukushirikisha kama wewe ni mtoto wakwanza ktk familia ikitokea ujue wewe umepuuzwa kabisa na hauna maana ktk familia
  5. Jongirojo

    Mama mzazi kauza nyumba ya baba yangu kisha anaishi nyumba ya kupanga

    Mkeo akiuza nyumba yako wakati umesafiri na urudipo unaambiwa nyumba imeuzwa na mkeo amepanga utajisikiaje?
  6. Jongirojo

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    LISSU AFUNGUKA KASORO ALIZOFANYA MAKONDA. Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ametaja kasoro kadhaa katika zoezi la vita ya dawa za kulevya lililoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda. Amesema, Kwanza, Mkuu wa Mkoa hana mamlaka yoyote ya kuelekeza watu kwenda kuripoti...
  7. Jongirojo

    Mama mzazi kauza nyumba ya baba yangu kisha anaishi nyumba ya kupanga

    Mimi sikuitaji nyumba ktk ukoo au familia nyumba nipahara pakukutania pakiuzwa manaake kunapotokea jambo la kifamilia mnakutana hapo sasa amepatwa na matatizo nikienda nikafikie nyumba ya wageni? ikiwa kipato changu hakiruhusu
  8. Jongirojo

    Mama mzazi kauza nyumba ya baba yangu kisha anaishi nyumba ya kupanga

    Unatazama kiurahisi ndugu ujajua maumivu niliyo nayo Nyumba alijenga baba wakati wa kufyatua tofari nilishiliki nikiwa na umri wa miaka 12 Mama na baba walikuwa wameachana apofariki baba aliletwa mama kutulea mwisho mm niliondoka nyumbani kwanda tafuta maisha ndipo hayo yalitokea
  9. Jongirojo

    Mama mzazi kauza nyumba ya baba yangu kisha anaishi nyumba ya kupanga

    Baba alijenga nyumba akiwa ametengana na mama hivyo baba alipo fariki ukoo ulimrudisha mama ili tulelewe na yeye Mama alipo kuja hapo alikuwa na watoto wa baba mwingine ambaye hata sasa yupo hai Kinacho niuma kuona mali ya baba yangu imepotea ktk ukoo mwinine yaani watoto wa baba mwingine
  10. Jongirojo

    Mama mzazi kauza nyumba ya baba yangu kisha anaishi nyumba ya kupanga

    Mimi ni mtoto wakwanza ktk familia,mama angu alikuwa anaishi nyumbani kwa baba angu ambaye ni marehemu sasa alihishi pale akiwa na wadogo zangu wa tumbu moja Sijui nn kilitokea nikapata taarifa za msiba mdogo wangu aliye nifuata kuzaliwa akafariki nilikwenda msibani nilipofika ndipo nilipata...
  11. Jongirojo

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Kisheria anaetakiwa kutoa wito huo ni police si mkuu wa mkoa
  12. Jongirojo

    Yabainika: Mjane wa Tanga aliyemlilia Rais Magufuli si tapeli. Nyaraka nyeti zaibuliwa

    Jambo hili vyombo vya habari kama television vingepewa ruhusa kuonyesha live
  13. Jongirojo

    Kubeti kwatajwa kiini cha wanafunzi kufeli

    Kubeti kupo kwa shule za serikali tu
Back
Top Bottom