kamati ya ufundi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 416
- 439
Yanayotokea CHADEMA kwa sasa ni kama mchezo wa watoto kombolela hakuna hoja za msingi zaidi ya kukimbizana na Matukio nataka kuwauliza watanzania wenzangu Kama wao ni waumini wa sera na Itikadi au mtu na Mali zake?
Jambo la sasa linaloendelea ni la kushangaza jinsi watanzania wanavyoenda kwa mihemko Mh Godbless Lema ni mtuhumiwa amekamatwa kwa makosa mengi moja wapo ni Mkewe Kumtusi RC Mkoa wa Arusha kesi ipo mahakamani ile kutatua utata mahakama inataka kusikiliza mashahidi mmojawapo ni Staff kutoka voda kitengo cha picha Kuja Mahakamani kutoa ushaihidi uliohitajika na mahakama ambayo Mh Lema alimtukana mwenzake,ili kuweza kuthibitisha pasina shaka yoyote Kama ilikuwa kweli au si kweli Why do you think its against him?
Pengine ukweli wa voda ndio utamuweka huru mnashindwa kujielewa sababu ya Mihemko Sasa hapa mnalaumu mashahidi au mnalaumu mtenda kosa?
Kama Lema hajavunja sheria atakuwa huru ila kama kavunja sheria muacheni aende Jela Akapumzike CHADEMA nyinyi hofu yenu ya Nini?
Miluzi mingi humpoteza mbwa na hii sio mara ya kwanza kwa kampuni za simu au mabenki kutoa ushaidi mahakami kuhusu taarifa za wateja wao kwa sababu sheria zipo wazi zinajieleza ni jambo la kushangaza sana tunatumia vitu bila kusoma vigezo na Masharti hapa ndipo naiona Tanzania yenye kuhitaji Elimu Elimu Elimu.
Mfano Protea Hotel ya Aika Machame pakitokea uhalifu pale na mahakama ikahitaji ushahidi kutoka Protea Mtaendesha kampeni against Protea? Mh Mbowe Watch Out vijana wako wamekuwa Kama nyumba wasisitize kutafakari kabla ya kuandika.
Inaonekana CHADEMA mmesahau nani adui wenu kisiasa pambaneni na Mifumo Kuitafuta Katiba mpya sio kutushawishi kwenye mambo yasiyoleta tija mwaka 2020 Leo mnaichafua Vodacom Pia Airtel haitabaiki Salama halikadhalika TiGo pia Halotel na Zantel Kama ni kampeni binafsi makampuni mengine hayapaswi kushangilia kesho itakuwa zamu yenu watanzania wanabidi kueleweshwa sio kupotoshwa.
Ninachofahamu chombo cha mwisho kwenye maamuzi ya kisheria ni Mahakama na hili swala ni la kisheria na hata kama kuna mapungufu Tafsiri yake lazima itolewe Mahakamani siyo vinginevyo.