Recent content by jonas amos

  1. jonas amos

    Jumba la Chris Lukosi jiko tu limemgharimu million 48, kiatu million mbili na soksi laki tano. Harudii tshet. Tutafuteni hela asee

    Sina shaka na utajir wake ila soks kusema laki 5 kiatu milioni 2 uongooo hata jiko itakuwa ametupiga tu
  2. jonas amos

    Waliopaulia mabati ya Sunda, yanapauka baada ya muda gani? Hayavuji ?

    Ikivuka msimu mmoja wa mvua Niko pale Kuna mmoja alipoezeka tu mvua ya kwanza ikaosha rangi Kutoka kijana ikaja kama nyekundu saiv inaelekea kuwa nyeupe Mwaka wa tatu haujafika
  3. jonas amos

    NADHARIA Mkojo ni dawa ya magonjwa mbalimbali

    Mafuta ya mwamposa isijekuwa mamikojonya wafu
  4. jonas amos

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Umemsahau mapema kiduku, mpaka trump ikabid afunge safari kwenda kwa kiduku wayajenge Kagame kamdomo katamponza Hana uwezo wa kupiga souz hata kwa sekunde Souz jesh la anga wanavifaa Bora sana Tanzania tu akichokoza anaamka amekufa
  5. jonas amos

    Special thread-yanayojiri USA Los Angeles janga la moto

    Kwa akili yangu binafsi moto huo wa kimkakati kutoka maadui wa USA Si moto wa kawaida
  6. jonas amos

    Marekani: Polisi inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10

    Huo moto ingekuwa unawaka Iran au Russia ungesikia marekan anavyoimbwa Na Israel USA ni super power wa mchongo kabisa Moto tu unamtesa je mabomu yakishushwa Iran ni watu hatare sana Hapo Kuna mkono wake kabisa Mrusi kazalisha upepo Iran moto ambao sio wakawaida nyuklia hiyo haizimiki...
  7. jonas amos

    Special thread-yanayojiri USA Los Angeles janga la moto

    Kutokana na moto unaoendelea kuweka huku miundombinu likiendelea kuharibika Zipo taarifa kadhaa ikiwamo moto huo kuhusishwa na ugaid Na kama itakuwa ndivyo basi marekan atakuwa amevuliwa nguo Kwa siku ya Jana mshukiwa mmoja amekamatwa akiwa ni simu za mkononi Tano na kadi za bank...
  8. jonas amos

    Vote code na sub vote kwenye salary slip ni nini, naipata wapi?

    Nenda kwa mkuu wako wa idara atakupatia ulishindwa kabisa nambie
  9. jonas amos

    Tanzania inatumia fedha nyingi za kigeni kuagiza vinjiti vya meno kila mwaka

    Hailipi na huku wamiliki wa viwanda hivyo wametajitika Kulipwa kupi unataka ?
  10. jonas amos

    Maelezo ya Nyerere kwa Gen. Kombe na Membe kuhusu Jack Gotham

    MWALUKASA kaingia kwenye idara miaka ya Nyerere na kupata urso miaka ya kuanzia mwinyi amestaafu 2005 Inawezekana huwajui Hawa watu vizuri
Back
Top Bottom