Recent content by jomre

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wanachama 600 wa CCM wachana kadi zao Muheza !

    Mtakubali tuu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM, wanachama 100 wajiunga CUF

    Hamieni huku chadema achaneni na majizi hayo ccm hata hayana hofu ya mungu! Nilikuwa katika kijiji kimoja mkoani Simiyu jimbo la busega,mgombea ubunge wa ccm alikuwa anagawa 2000 kwa wanachama hadi saa saba usiku ili apite kura za maoni, inashangaza lkn ndo ukweli! Buku 2 unateseka miaka 5...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Yeah, safari ya matumaini nji nyeupeeeee
  4. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Siku za mwizi zikifika zimefika tuu!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Hapo walimtoa jamaa kafara
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

    Akaendelee tu na kuigiza, huko kachemsha
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

    Mwaka huu kweli kazi ipo, kama movie vile
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Safiii,muwndelee kutujuza yanayojiri huko
  9. J

    JamiiForums Tanzania Anna Kilango atiwa mbaroni kwa tuhuma za kutoa rushwa

    Huyo ni kawaida yake, hata kipindi kilichopita alikamatwa kwa tuhuma hizo hizo lkn akaachiwa kwa kuhonga! Mambo ni Yale Yale tuu, anayemkamata mtu kwa rushwa naye anadai rushwa then mchezo umeisha!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Anadai bado ananipenda

    Dunia ina mambo mengi sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zawadi nene kutolewa atakayepata swali hili

    Haahahaa' hatari Mhh mbona ni mfano wa uume
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    Haya makampuni ya simu ni wanyonyaji wakubwa sana' na si kwamba serikali haijui wanajua sana' ila wahusika kuna kamisheni wanapata! Hata mishahara ya wafanyakazi hasa wale waliopo kwenye hivyo vitengo vya kuiba na kutudanganya! Wanatuumiza sana kikweli! Hamna wenye nafuu wote majizi makubwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kyela asimamishwa kazi baada ya kufumaniwa na mkewe

    Kweli kabisa! Tuwe makini na habari tunazo post tuache kukurupuka!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari 7 waliotishiwa maisha baada ya kupiga Kura ya Hapana wamerejea Dar es Salaam

    Huo ujumbe ni wa kweli jamani Nani katuma? Mbona hatajwi tumjue?
Back
Top Bottom