Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
October mtarudi humu mnalia kura zimeibiwa
Badala ya kupanga mikakati ya ushindi nyie mnafarijiana JF.
Ushindi hauji hivyo.
EL katuambia mbinu za adui anazijua.hamtaiba kura hata moja mwaka huu..
October mtarudi humu mnalia kura zimeibiwa
Badala ya kupanga mikakati ya ushindi nyie mnafarijiana JF.
Ushindi hauji hivyo.
October mtarudi humu mnalia kura zimeibiwa
Badala ya kupanga mikakati ya ushindi nyie mnafarijiana JF.
Ushindi hauji hivyo.
October mtarudi humu mnalia kura zimeibiwa
Badala ya kupanga mikakati ya ushindi nyie mnafarijiana JF.
Ushindi hauji hivyo.
Muheza hawana ujinga huo labda hawo ni wamasai au wachaga
Wanajukwaa!
Mnyukano wa kura za maoni ccm inazidi kukipasua chama hicho. Leo wanachama 600 muheza wachana kadi zao na kutishia kuhamia upinzani!
Source: ITV habari saa mbili!
Wanajukwaa!
Mnyukano wa kura za maoni ccm inazidi kukipasua chama hicho. Leo wanachama 600 muheza wachana kadi zao na kutishia kuhamia upinzani!
Source: ITV habari saa mbili!
Mnajazana ujinga kwenye keyboard tu ili ikifika October mseme mmeibiwa kura, mlikuwa na wafuasi wengi!! Yaani wachane kadi then watishie kuhamia upinzani!!! Ndo nini sasa!? Halafu hao 600 unaweza kuthibitisha!?
Afadhali Muheza tuanze kuonyesha njia
watetezi wa ccm wamebaki watoto wa viongozi tu , haya na we mwenzetu ni mtoto wa nani ?
Magufuli mwenyewe kura yake anawapa UKAWA.
umeona source ya habari? Muheza 600 na monduli 300 sumbawanga 100, una maoni gani kama mdau wa ccm?Mnajazana ujinga kwenye keyboard tu ili ikifika October mseme mmeibiwa kura, mlikuwa na wafuasi wengi!! Yaani wachane kadi then watishie kuhamia upinzani!!! Ndo nini sasa!? Halafu hao 600 unaweza kuthibitisha!?
rufiji wakataa ridhiwani kuwachagulia kiongozi
umeona source ya habari? Muheza 600 na monduli 300 sumbawanga 100, una maoni gani kama mdau wa ccm?