Recent content by Jomba Wajo

  1. J

    Simulizi: Lisa

    Namba zangu za mawasiliano ni 0786 14 67 04 na 0628 02 04 21 kwa anayetaka mwendelezo wa stori hii na nyngine nyingi za kuvutia
  2. J

    Simulizi: Lisa

    Nshukuru nyote kwa kuipenda na kuifautilia hadithi hii.
  3. J

    Siri 21 Za Mafanikio Za Mamilionea- Sehemu ya 2

    SIRI 21 ZA MAFANIKIO ZA MAMILIONEA WALIOJITENGENEZA WENYEWE (TAFSIRI YA KITABU: THE 21 SECRETS OF THE SELF-MADE MILLIONAIRES: By BRIAN TRACY). ******************** SIRI NAMBA 1: KUWA NA NDOTO KUBWA Kuwa na ndoto kubwa; ndoto kubwa tu ndio zenye nguvu ya kusongesha roho za wanaume. - MARCUS...
  4. J

    Siri 21 za mafanikio za mamilionea

    SIRI/KANUNI 21 ZA MAMILIONEA WALIOJITENGENEZA. (Tafsiri ya kitabu The 21 Success Secrets Of Self Made Millionaires- by Brian Tracy) ************ Utangulizi: Kanuni ya Kisababishi Na Matokeo Kile unachojaribu kujifunza katika kurasa hizi kinaweza kubadilisha maisha yako. Mawazo haya, ufahamu...
  5. J

    Simulizi: Hekalu la maovu

    SIMULIZI ZA JOMBA WAJO HEKALU LA MAOVU. Sehemu Ya 1. Pengine ni kwa sababu alizaliwa kipindi cha mwezi mkuu, wakati mbweha na mbwa mwitu wakibweka kuzunguka kibanda cha mama yake kilichojengwa katikati yam situ mnene, msitu wa giza, ndiyo maana Zonda alizaliwa na asili ya uovu ama huenda...
  6. J

    Malkia wa mahaba

    SIMULIZI ZA JOMBA WAJO MALKIA WA MAHABA. Sehemu Ya 37. *** Kwa wasomaji wapya; Jomba Wajo, ama maarufu kama Joo, kijana mtanashati na mwenye uwezo wa kimaisha, anakumbana na mikasa mikubwa baada tu ya kukutana na kuangukia kwenye penzi la binti mrembo Irene, ama kwa jina maarufu ‘Malkia...
  7. J

    MALKIA WA MAHABA.

    MALKIA WA MAHABA. Kama ungbahatika kukutana naye, walah ungetamani upate walau dakika moja tu ya kuongea naye na angekupa dakika ungetamani, ungetamani saa nqima, saa ungetamani siku na anggekupa siku ungetamani uwe naye milele. Irene Mashala ni miongoni mwa mabinti wachache sana wa kisukuma...
  8. J

    Simulizi za jomba wajo

    TICHA KIWEMBE Ama kwa hakika Adamu na Eva walifanya jambo la maana sana kulimumunya tunda wailokatazwa na Muumba. Maana wasingelimumunya basi tusingejijua kuwa tu uchi, na tusingejijua kuwa tu uchi basi huu utamu tungeujuaje? Ni utamu unaosifika kila kona ya dunia. Vijana kwa wazee waausifia...
  9. J

    Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

    Kcha kwenda huko. Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako. kwa mujibu wa kitabu cha carlos Castaneda "The Art Of...
  10. J

    Bill Nas... Tutegemeee janga jingine la uteja..

    Itakuja siku, kama si tahadhari binafsi kuchukuliwa, hiphop bongo itapotelea kusikoko. Hii ni kwa sababu waimbaji wa mtindo huu wamekuwa wakihusishwa sana na uvutaji unga kama ilivyo kuwa kwa kwa mangwea, langa, na wengineo. inasdemekana pia pia ukaribu wa b.nas na tid ni kukutana kwenye...
  11. J

    Boresha Mahusiano Yako Kwa Kupenda Ndani-Nje, siyo Nje-Ndani

    ninasisitiza tena, upendo wa ndani-nje upo dada. ila ni mtazamo wako tu
  12. J

    Boresha Mahusiano Yako Kwa Kupenda Ndani-Nje, siyo Nje-Ndani

    ooh! samahani nilipitiwa. si unajua wakati mwingine ni ulimi tu.
  13. J

    Boresha Mahusiano Yako Kwa Kupenda Ndani-Nje, siyo Nje-Ndani

    nina experience na hii kitu kaka. mwenyewe nimetumia. ningeandika lakini stori ingekuwa ndefu sana.
Back
Top Bottom