Daah kumbe kujiajiri nako ni kaz, ona yanayonisibu.

yousaw

Senior Member
Apr 21, 2014
160
129
Wakuu hamna asiyejua hal ya soko la ajira ilivyo hapa Tz kwa sasa, kutokana na hlo kijana mwenzenu nkaamua kujiajiri kwa kufungua biashara ya kuuza chps cha ajab napga mzgo had unaisha ila hakuna faida ni hela ya msing tu ndo ninayoipata, sasa wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anishaur jins ya ku'rise income!
AHSANTE.
 
Unatakiwa ujie, faida huwa inajificha wapi?? Na kwa nini?

Ukijua hilo ndiyo mwanzo wa faida!
 
Wakuu hamna asiyejua hal ya soko la ajira ilivyo hapa Tz kwa sasa, kutokana na hlo kijana mwenzenu nkaamua kujiajiri kwa kufungua biashara ya kuuza chps cha ajab napga mzgo had unaisha ila hakuna faida ni hela ya msing tu ndo ninayoipata, sasa wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anishaur jins ya ku'rise income!
AHSANTE.

Mzee wa wadada hivi ulishaachaga mademu manaake we ni Kiwembe!!! kama Siyo hapo ndo faida imejificha.
 
Lazima uwe na "Business Plan" hii itakuonyesha mpangilio wa matumizi na mapato yanayotarajiwa weka kila kitu ktk maandishi siyo lazima uwe na elimu kubwa hata darasa la saba anaweza hili. Tatizo kuna baadhi ya vitu vinatukwamisha na hatuvioni vinachukua faida yetu hasa kutoa misaada isiyo ya lazima km vile mjomba akipita unampa buku n.k tunaishia kulalamika tu.
 
Dah ahsanten sn wakuu kwa kla wazo lililotolewa na naona weng mwsho wao wa kufkiria ni madem tu, sasa nahtaj mtu mwny uzoef anpe mchanganuo mzur wa biashara hii.
 
Wakuu hamna asiyejua hal ya soko la ajira ilivyo hapa Tz kwa sasa, kutokana na hlo kijana mwenzenu nkaamua kujiajiri kwa kufungua biashara ya kuuza chps cha ajab napga mzgo had unaisha ila hakuna faida ni hela ya msing tu ndo ninayoipata, sasa wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anishaur jins ya ku'rise income!
AHSANTE.

usiwe unawaekea wateja chips nyingi... weka kidogo tu, makachumbari kibao... pia punguza matumizi yasio na lazima, acha pombe, wanawake, kununua nunua soda na maji ovyo (uwe unayaandaa ya kuchemsha), usafiri usipende kutumia boda boda panda bus kama watanzania wengine.... uwe unaenda kanisani kusali muweke Mwenyezi Mungu mbele kila kitu kitawezekana
 
Ahsanten wakuu, Na ningependa pia kueleweshwa namna ya kununua bidhaa na wingi wa bidhaa husika kwa mfano viaz kwa gunia au kwa ndoo, mkaa, mafuta nk.
 
Wakuu hamna asiyejua hal ya soko la ajira ilivyo hapa Tz kwa sasa, kutokana na hlo kijana mwenzenu nkaamua kujiajiri kwa kufungua biashara ya kuuza chps cha ajab napga mzgo had unaisha ila hakuna faida ni hela ya msing tu ndo ninayoipata, sasa wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anishaur jins ya ku'rise income!
AHSANTE.

Kwa vyovyote una rafiki muuza chips au una rafiki ana rafiki muuza chips nenda kampe hata elfu kumi kama hatakubali kukupa bure elim fupi ya biashara hyo then rudi ukaanze upya ...lakin vitu walivyo sema wadau ni vya msing saana madem,misaada ya kila mara, wasaidiz wengi, ufafanuz wake upo hivi..madem=kuwawekea kipimo co cha kawaida! Musaada= kuwapa watu chips za bure au kipimo kikubwa kisa unawajua na kutoatoa jero buku bila mpangilio....wasaidizi weka wachache kazi nying na ngum fanya wewe usione aibu.. kama kuchota maji,kumenya viazi,kupeleka oda unapo itwa mbali upeleke, n.k *(mimi baba lishe)
 
Kwanza useme unaandaa na kuuza mwenyewe au una kijana then wee unasimamia on and off? Pili, unatakiwa uweze kukokotoa plate moja kwa wastani inatengenezwa na viazi vingapi. Huo unakuwa ni mwanzo wa kujua gaharama ya kuanadaa plate moja ni kiasi gani ili kujua bei unayouza inalipa au ni hasara. Kwenye biashara ndogo nyingi watu hawakokotoi unit cost hivyo unaweza kukuta wanauza kwa faida hata haifiki 50tsh kwa sahani ila hawajui. Kwa biashara yako lazima ujue kuandaa sahani moja inacost kiasi gani na hapo ujumuishe viazi, mafuta, mkaa, hela ya kijana mpikaji, chumvi, tomato etc
 
Dah ahsanten sn wakuu kwa kla wazo lililotolewa na naona weng mwsho wao wa kufkiria ni madem tu, sasa nahtaj mtu mwny uzoef anpe mchanganuo mzur wa biashara hii.

mkuu angalia sana kipimo chako biashara ya chipc akija mtu akisema ongeza nawe ukajaza tu hutoiona faida,walau kg.1 ya viazi itoe sahani 3 utaona faida pia nunua gunia siyo kununua kwa kilo itakusaidia
 
mkuu, kwa upande wangu nakubaliana na ushauri wa watu wote hapo juu,ila kuna ushauri watu wengi hawataki kusema, je unaamini kuna uchawi? je vitabu vya dini vinaamini kuna uchawi? je unaamin kuna kinga ya uchawi? je kwa nin wachaga na wakinga wanaendelea sana biashara zao? hakuna tajili dunian aliyefanikiwa bila ya kujikinga na hivyo vitu, iwe kwa maombi ya kwa mungu au kuzuia kupitia njia nyingine. wengi watanibishia humu ndani, kumbuka hao sio wafanya biashara,kuna dunia nyingine zaid ya freemanson.so jaribu ushauri wa wadao hapo juu, ukiona bado, kama ni mwislamu, muite shekhe apige kitabu hapo, mambo yatanyooka. ni ushauri tu
 
Dah wakuu nimewaelewa kulko kawaida na ninashukuru kwa ushaur, ngoja niyatendee hak mlio nshaur af baada ya wiki 1 ntarud hapa kuwapa feedback.
 
Wakuu hamna asiyejua hal ya soko la ajira ilivyo hapa Tz kwa sasa, kutokana na hlo kijana mwenzenu nkaamua kujiajiri kwa kufungua biashara ya kuuza chps cha ajab napga mzgo had unaisha ila hakuna faida ni hela ya msing tu ndo ninayoipata, sasa wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anishaur jins ya ku'rise income!
AHSANTE.
Punguza kuhonga
 
usiwe unawaekea wateja chips nyingi... weka kidogo tu, makachumbari kibao... pia punguza matumizi yasio na lazima, acha pombe, wanawake, kununua nunua soda na maji ovyo (uwe unayaandaa ya kuchemsha), usafiri usipende kutumia boda boda panda bus kama watanzania wengine.... uwe unaenda kanisani kusali muweke Mwenyezi Mungu mbele kila kitu kitawezekana

Good advice indeed hasa hapo pa kusali kwa Mungu ndo penyewe biashara pia yahitaji nidhamu ya matumizi ya budget na Ku avoid unnecessary matumizi
 
Back
Top Bottom