Recent content by Joloe

  1. Joloe

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa...

    Jambo hili kama ni la uzushi Kapuya angeshalikana ukizingatia ni mtu aliyewahi kuwa waziri wa Elimu. Ingekua babu Seya angeshanyongwa.
  2. Joloe

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

    Uzembe wa kufikiri wa baadhi ya viongozi wa chadema ni chanzo cha huo muonekano wa kutojipanga. Kama wameanza ugomvi wao kwa wao ndani ya chama na kutumia mitandao ya kijamii kutatua migogoro Yao badala ya kutumia vikao ni dalili ya anguko kama ilivyokuwa kwa NCCR.
  3. Joloe

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia muujiza wa ajabu nchini Germany!

    Hii hata mi mwanzo ilinishangaza lakin kumbe ndani ya mwili wa huyu mtu kuanzia pale mwili wake ulipogusa hiyo chuma umezungukwa na hiyo chuma iliyoungwa na ilitengenezwa kufit nguo na mwili wake. Kwa hiyo kaivalia hiyo chuma kwa ndani kiasi kwamba huwezi kugundua kirahisim
  4. Joloe

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

    Kwani Pinda anaumwa nini mweeeee........hata hivo na yeye kapinda kama jina lake. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  5. Joloe

    JamiiForums Tanzania Clouds fm what do you learn from this

    Its for real........100% ukweli umewaambia Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  6. Joloe

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya jide na luge wa clous fm

    Jide atashinda tu maana ndo anaonekana kupambana kwa niaba ya wasanii wote. Luge amekuwa akifanya hivi dirty business maisha yake yote.....Hachoki??????!!!!!!! Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  7. Joloe

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Hapa hatutukanani bali tunapambana kwa hoja.....Hebu kaka Nape na wewe tueleze Elimu yako ili tujue kilichojiri upande wako na si kusikiliza wenzio. nakutegemea usiniangushe.
  8. Joloe

    JamiiForums Tanzania MAANDAMANO YALIOTOKEA BAADA YA KUJiUZUULU POPE BENEDICT XVI ‘No more Pope’

    This is crazy..........I hope the world is not going to the end Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  9. Joloe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu ana mapepo

    This is crazy thing going on in the back of"secret"
  10. Joloe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

    Hope kwa ufafanuzi huu sina swali mkuu
  11. Joloe

    JamiiForums Tanzania Huyu msanii huwa ananikera!!! ......

    Kweli maprosoo naona umeishiwa. kama anataka nafasi ya kuchekesha wewe useme sion sababu ya amponde mwanaume mwenzio ambaye anatafuta cha kupeleka tumbon. usikute hata wewe hapo kazini kwako wanakusema hujui lolote ni KAMLETE na umeletwa na ndugu ya. Kama una shida ya kutoa makavu live nenda...
  12. Joloe

    JamiiForums Tanzania Kimwana kutoka bukoba hicho

    U Ukitaka water water war hapa umefika...Mpaooooh
  13. Joloe

    JamiiForums Tanzania mnh mwanamke make up eeh?!

    Mhh utadhan mashabiki wa soka wa Nigeria teh teh teh
  14. Joloe

    JamiiForums Tanzania King Mswati II akamata kichud mwingine

    You are so low-minded..yaani unahic walichokifanya marekani ni sawa. Binadam wewe nadhan bado una utumwa wa akili. Hawa watu ni Culture yao na wana enjoy. Unajua kama hii inaongeza idadi ya wasichana Bikra huko kwao. Huyu jamaa anafanya hadharan...haya nieleze unajua kiongozi wako ana wanawake...
  15. Joloe

    JamiiForums Tanzania King Mswati II akamata kichud mwingine

    You are so low-minded..yaani unahic walichokifanya marekani ni sawa. Binadam wewe nadhan bado una utumwa wa akili. Hawa watu ni Culture yao na wana enjoy. Unajua kama hii inaongeza idadi ya wasichana Bikra huko kwao. Huyu jamaa anafanya hadharan...haya nieleze unajua kiongozi wako ana wanawake...
Back
Top Bottom