Recent content by Joleki

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Mkuu nakushauri nenda kamwone daktari wa meno maana magonjwa ya fizi (periodontitis/gingivitis) tiba yake ni kusafishwa meno ama kuchekiwa kama una upungvu wa vitamins.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya asali

    Tafadhali msaada, hivi ujazo wa asali unapimwaje kama uzito? Mfano 20kg ni sawa na lita ngapi?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tatoo chini ya kalio

    Umetisha kaka
  4. J

    JamiiForums Tanzania Boti ya Mv Kilimanjaro II kutoka Pemba kuelekea Unguja yanusurika kuzama

    Poleni wafiwa na MUNGU awaponye haraka majeruhi.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la meno kuchimbika (baina ya jino na fizi)

    Hatua ya kwanza acha kupiga mswaki kwa nguvu.Jaribu kutafuta miswaki yenye vifanyio laini na tumia dawa ya meno sensodyne, with time hiyo hali itakwisha. Pamoja na hayo nakushauri umwone daktari wa meno maana kama yamekwanguka sana yatahitaji kuzibwa.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chai kavu, ugali maharage mchana na usiku kila siku, kibaha cotc sawa si sawa????????????

    Acha hizo, hamna daktari mwenye diploma.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dr Bahati Kaluwa katutoka

    RIP Dr. na Poleni sana wafiwa. Kama una taarifa zaid elezea msiba upo ili kama kuna wanajamii waliokaribu watuwakilishe.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Mwezi uliopita watu walipokea tarehe 23.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wapi Fundi/Gereji wa bodi za Magari

    Habari wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua gereji kwa Dar yenye mafundi wazuri wa kunyoosha bodi za magari pamoja na kupiga rangi vizuri.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa Tz wanakatwa kodi kubwa kuliko wote EAC

    Aisee, hii ni hatari kwa waajiriwa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kazi hizi hapa! Umechoka kutafuta kazi piga simu no#0658825141 ujiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo!

    Toa maelezo hapo,unafichaficha nini? Au unatafuta ubeasy wa simu?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nesi Mkoani Dodoma Aingia matatani kwa kashfa ya Kung'oa Nywele za sehemu za siri(NYETI) za wajawazi

    Mambo mengine ni kutafuta ugomvi na watoa huduma pasipo kuwepo na sababu za msingi.Watu tnajua matatizo na ugumu wa kazi za manesi kwenye zahanati za vijijini, kweli hata nywele za kunako tunasubiri zinyolewe na wauguzi? Hata kama huduma kwa wajawazito ni bure, sio hata kunyolewa sehemu nyeti.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Pamoja na ushauri wa mapapai, maji n.k, usisahau kumpa dawa za minyoo anglau kila baada ya miezi 6.
Back
Top Bottom