Recent content by Johnyy

  1. Johnyy

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Ahh nmesoma soma coments humu unatisha sana
  2. Johnyy

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    dah ww unaonekana masta sna
  3. Johnyy

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Mm mgeni wakuu natafuta kibonde mwenzangu
  4. Johnyy

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Nmesahau email so nimepoteza my best squad natafuta anayeuza kikos anicheki
  5. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Vykingship imeblokiwa Airtel Mastercard?

    Yahh sure umenipa wazo👏
  6. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Vykingship imeblokiwa Airtel Mastercard?

    Thanks nimewatumia email tyr ni shipping agency i hope watanipa feedback
  7. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Vykingship imeblokiwa Airtel Mastercard?

    Yah airtel inasumbuaga sana Ngoja nijaribu Voda mastercard nao
  8. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Vykingship imeblokiwa Airtel Mastercard?

    Habari wakuu, Nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id: MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
  9. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuendelea na maombi ya chuo baada ya kuchaguliwa

    usipofwatilia mzee utaenda hicho chuo mda unaisha 16/10 wanaanza masomo
  10. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuendelea na maombi ya chuo baada ya kuchaguliwa

    Hawapokeagi hao😂
  11. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuendelea na maombi ya chuo baada ya kuchaguliwa

    Duh ungekua dar ingekua poa ila nadhan wanabranch huko
  12. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuendelea na maombi ya chuo baada ya kuchaguliwa

    Nenda nacte waeleze ishu yako watakwambia uende chuo ulichochaguliwa watilie mkazo wao ndo wawasiliane na hicho chuo lasivyo watakuzungusha tu wanatafuta wanafunzi
  13. Johnyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    umeandika pumba
  14. Johnyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwamba anakumbuka conversion had mavazi waliyovaa atengwe😂
  15. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Internship private sectors upoje?

    duhh kwa mda gani
Back
Top Bottom