Recent content by JohnSnow

  1. JohnSnow

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mjiandae kwa screenshot jioni ..we have made it again today..Haters whatss up..!!.# Blame forex.
  2. JohnSnow

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Kabisa umekaa na kufikiri ukaamua kuandika forex ni kamari..watch this pace watu kama nyie tutakua tunascreen shot withdraw kila weekend mtaelewa tu..Time will tell.
  3. JohnSnow

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wakuu naomba kujua jina la software wanaotumia traders kufanya analysis before execution kwenye META 4. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JohnSnow

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naomba kujua jinsi kuendesha account ukiwa huku bongo kwa maana ya deposit kwa broker na kuwithdraw profit. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. JohnSnow

    Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Wimbo mzuri sana pengine ulisikiliza ukiwa na stress.
  6. JohnSnow

    Boeing 787: Waziri Mbarawa ametudanganya, hakuna Line Number 719

    Kikubwa wawe wazi kama kuna makosa basi yarekebishwe.Tanzania ni yetu na maendeleo ni ya wote.Suala hili lisichukuliwe kisiasa hapa ni maslahi ya Taifa.
  7. JohnSnow

    Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

    Kama editing ila ndo ukweli.maisha yanaenda kasi kweli kweli.
  8. JohnSnow

    Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    stamina imechukua nafasi AJ angemalizwa round 5 ambapo klitcho alimuotea .Sema kijana yuko vizur mzee pia nae kajitahd kufika round hyo.Aj ana heavy punches sana.
  9. JohnSnow

    Mtazamo: Wanaume wapole wanaongoza kwa kusalitiwa na wapenzi wao

    Upo sahihi kiasi fulani ni kweli watu wapole/wastarabu hupenda kufuata utaratibu ama njia fulani kufanya mambo.Mapenzi hayana utaratibu ni lifestyle.ukiyaweka kama lifestyl utaenjoy sana.
  10. JohnSnow

    Mwanaume mwenye malengo na wewe utamtambua kwa haya

    Hizi ni kanuni au njia za mtongozaji
  11. JohnSnow

    Differences between a girl and a woman|Tofauti kati ya msichana na mwanamke

    Hizo sio sifa za 'woman' au ' girl' sababu sababu kila mtu ana namna na utashi wa kukabiliana na mazingira husika kwa nmna tofauti.Hamna formula ya watu wote duniani.
  12. JohnSnow

    Wanaume 'wagumu' ndio wenye mapenzi ya kweli

    siku hizi suruali ,mkanda na tai ni mavazi ya aina fulani ya wanaume.Hili ni jipya mjini.
  13. JohnSnow

    Dalili ya mwanamke anayekutaka kimapenzi ni ipi?

    mtoa mada ikiwa ni abv 18 basi kuna vitu haviko sawa pahala.
  14. JohnSnow

    Kaniambia tuachane baada tu ya kumwambia aje kwangu

    Nina mashaka na stori..kama kweli basi tumia uanaume wako umshawishi atakuja tu.
Back
Top Bottom