Habari za siku nyingi ndugu zangu, naomba nitoe muono wangu kuelekea msimu unao kuja kwa upande wetu.
Kwa mtazamo wangu naona tunaenda kuanza msimu huu tukiwa bado sio timu tishio kwenye ligi, na hii ni kutokana na ukweli kwamba timu yetu bado ni dhaifu kulinganisha na wapinzani wetu wakubwa...
Habari za leo ndugu zangu. Hii tumeipenda wenyewe acha ituue tu.
BInafsi napenda tunavyo pata haya matokeo pengine Glazzer wanaweza kufikiria kuondoka. Na hapo tunaweza kuanza upya kujitengeneza bila kujali kocha atakuwa nani, japo natamani sana Eric abakie, naamini ana kitu cha ku prove.
Najua...
Habar za leo ndugu zangu, leo naomba nichangie kidogo kwenye hili jukwaa baada ya kimya kirefu.
Kitu cha kwanza ambacho inabidi tukubali ni kwamba kwa sasa tupo nyuma sana na washindani wetu wakubwa kwenye Ligi achia mbali UEFA, na ni ngumu kupata timu ya kugombea ubingwa kwa msimu ujao( kama...
Nawasalimu wakuu. Na mimi naomba nitoe Mtazamo wangu kuhusu timu yetu kabla ligi haijaanza.
Kwanza nadiriki kusema tumefanya usajili nzuri(kiasi) kutokana na matakwa ya kocha japo hatujafikia hatua tuliyo penda(wengi wetu).
Usajili wa Wan na HM, kurudi kwa Mensah na Tuamzabe utatusaidia...
Kama ningekuwa na nafasi ya kufanya maamuzi Kwenye usajili naona bado inabid tusajili at least wachezaji wengine watatu au wanne(kama Lukaku anaondoka). CB mmoja,DM mmoja na BF(MTU wa type yake).
Hapo nadhani tutakuwa tumefanya improvement kubwa.
Hii ni kuanzia 2001/2002 hadi msimu wa mwisho wa Fergie. Msimu ambao haupo hapo Basi tuliishia Makundi. Ukiangalia hapo Kwa miaka kumi tulifanikiwa kumtoa juve na Barca pekee(ma giant walio Kuwa kwenye ubora). Ac Milan tuliye mfunga sihitaji kumzungumzia alikuwa kwenye hali gani.
Japo tukitoa ile class of 92 graduates wengi kutoka kwenye academy yetu hawaja tunufaisha moja Kwa moja. Wengi hawakufikia/hawajafikia tulipo tegemea watafika. Sijui ni Sera au Mpira ndio umebadilika.
Mkuu tukiangalia hizo timu ulizo taja. Mfano Barca au Madrid au Bayern ni kati ya timu ambazo wanaangalia zaidi Ku tawala sio tu ligi za ndani ila ulaya Kwa ujumla wake. Presha yake ni tofauti na aliyo Kuwa anapewa Fergie baada ya kutawala ligi ya uingereza. Ndio maana sio ajabu kusikia...
Mkuu nimekuelewa Sanaaa. Umechambua vizuri Sanaa.
Japo hapo mwishoni daah!! naomba nikanushe kabisaaa. SIJATUMWA NA MOU. Hahahahaaa.
Pia ningependa kusikia maoni yako juu ya heshima anayo pewa Fergie kulinganisha na mafanikio yake nje ya mipaka ya uingereza
Mbona naona kama tunaongea kauli moja yenye maneno tofauti?
Sikatai tumefanya vizuri EPL na hata UEFA hatujafanya vibaya ila pia hatujafanya vizuri to the maximum. Kweli Babu alikuwa miongoni mwa makocha bora. Ila legacy yake ipo Kwenye ligi kuliko UEFA. Alicho kifanya Kwenye ligi hakuna Aliye...
Mkuu Kwa sample ya Matokeo haya, tutasema hatukuwa underdogs mbele ya wakubwa wenzetu?
02/03 Madrid alitutoa
03/04 katuoa Porto
4/5 katutoa Ac Milan
5/6 tumetoka Makundi
6/7 tulifika nusu tukatolewa na Ac milan
7/8 mabingwa.
8/9 tulifika fainali ila njiani tulikutana na kina arsenal na porto...
Mkuu labda nirudi Kwenye swali langu la kwanza kabisa halafu twendelee mbele. Niliuliza hivi, Ferguson kukaa miaka 27 na kutupatia UEFA 2 je ni mafanikio? Nilikuwa nahusianisha muda alio kaaa vs mataji na sio vs makocha wengine. Au niseme Manchester ya Fergie vs timu nyingine. Nadhani...
Tofauti na makocha wengine. Historia ya Fergie na Man utd ni ngumu kuvitenganisha. Au labda niiweke hivi. Man utd ya Ferguson ilikuwa inapata shida pale inapo kutana na wakubwa wenzie Kwenye Uefa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.