Recent content by John W. Mlacha

  1. J

    JamiiForums Tanzania Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

    Sasa umempenda yeye au umependa picha zake?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Ha ha ha! Kweli wajanja waliniwahi. Anyway ningekuwa na nia mbaya ningekuja na id yangu ya kule chit chat.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwasiti anyang'anywa Benzi alilokuwa akiendesha, mwenyewe azungumza

    Kuna stori nilipewa kuwa kuna jamaa alishawahi kuhonga simu akamsajilia mama wa watu fb. Alipopewa alichokitaka akafuata simu yake.
  4. J

    JamiiForums Tanzania WCB ni balaaa

    Kuna dogo wa Udom jana aliua, Alipigwa wallet na pesa . Mondi akampa ticket na nauli ya kurudi UDOM
  5. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Sawa.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Sawa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Sio kila mtu lazima afanye kazi fulani . Kuna kitu kinaitwa presentation(mwonekano) Hata ukikataa lakini ukweli ndio huo .kama huamini nenda vodacoma customer care uone kama utakuta wazee au wabibi? Logic ndogo sana. Hata mfanyeje ila mfanyakazi nitampata lakini hii ni mara ya mwisho kuleta...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Mkuu heshima ifuate mkondo wake. Huyo dada mwambie alete vithibitisho manake namba yangu na kila kitu vipo wazi. Kumtaka mtu kimapenzi ili apate kazi ni kosa kisheria na kuna mashirika mengi sana yanaweza kunipeleka mahakamani. Siwezi kuthibutu kufanya alichosem huyo dada. Athibitishe kama ni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Mtaanza kubishana wee mwisho wa siku mimi napata mtu. Then mkikosa kaZi mnaanza kulalama.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Ndugu yako yupi. Muulize vizuri kama kweli John Mlacha ndiye kamfanyia hivyo? Au umependa tu kuniharibia? Mwambie huyo ndugu yako alete hata meseji zake ambazo nimewasiliana naye. Kumbuka tumefanyia interview watu wengi sana mimi nikishawafikisha kwa HR sijui nini kinatokea huko. Ila kama...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Asante kwa kunitukana, Ila mwezi wa 11 nilikuwa natafuta waiter na nilimpata kupitia hapa hapa JF. Na wewe labda ulichelewa. Kwa sababu imagine hata wiki hii kuna mtu alinipigia kuulizia kazi ya mwezi wa 11 ambayo mtu alishapatikana. Kwa hio akipatikana mtu na akaajiriwa sio kwamba mimi ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    Funny enough wanaume ndio mnalalamika. Kwa nini?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

    CLOSED:
  14. J

    JamiiForums Tanzania Sabufa za kichina kwanini ziko hivi!

    Mkuu nina dvd player ya sony. Vipi unaiweza?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Flat Screen TV: Umeishakumbana nayo?

    Kuna tv za sony bravi?
Back
Top Bottom