Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,095
2,000
Ofisi yetu Ipo not far Morocco Airtell.
Tunayemtafuta ni House keeper.awe ni:-
-Msichana
-Mtanzania
-miaka isizidi 24
-ajue english
-asiwe anakaa mbali na Moroko ya airtell
-awe mwaminifu na bosi ni Mzungu.
Kazi ambao atatakiwa kufanya:-
-house keeping, sometimes kumpikia bosi mzungu,na kufua nguo na anatakiwa awe msafi sana.
-ni kazi ya kuaminika na kama ni mwaminifu atakaa sana na ni best job.
Anatakiwa afanye yafuatayo-:
-atume majina yake yote na picha yake fully kwenye whatsapp namba yangu.
Kazi ataanza as soon as possible ndani ya mwezi huu kabla mwaka haujaisha.
Mshahara sio mkubwa ila maslahi yapo kutokana na uaminifu wake.
Tuma details hapa au uliza swali.
0714-925-525
John.
HUU NI UTAPELI TU, UMEKOSA KILA MAHALI MPAKA UJE HUKU? UNATAKA TAPELI DADA ZA WATU TU!
 

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,246
2,000
Asante kwa matusi.
I dont mind ila mara kibao naleta kazi hapa JF na tushapata wafanyakazi wengi kupitia JF.
Mungu akubariki kwa kunitukana ila nia yangu sio mbaya nimeleta kazi kama haikuhusu au kama huna ndugu si ungenyamaza ustaarabu ni kitu cha bure.
Ndugu ninao wengi ila sijataka kuwaambia nimetaka kuwaambia watanzania wenzangu.
Sasa kosa langu hapo ni lipi jamani??
Why? Vigezo vya kijinga urembo wa mtu na kazi wapi na wapi?? Mara atume picha full tena whatsap ni mpishi why usiweke vigezo vya kupika na kujua kufanya usafi badala yake sifa za kidunia ?? Kwenda zako huko only God can see what's yr intention..!
 

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,095
2,000
Kwa nini umewaza hivyo?
Namba yangu ya simu hio hapo.
Jina langu halisi natumia hapa. Au mnataka niweke na copy ya passport?
Khaaa!! Watanzania mna matatizo gani?
- Una ndugu
- Una majirani
-Oficin kwenu hakuna watu wenye ndugu mwenye shida
- Huna shemeji
- Kwa volume ya jamii forum uta process vipi hao watu?
 

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,246
2,000
MADADA KUWENI MAKINI HIYO SIYO KAZI NADHANI MMEONA UOMBAJI WAKE WA KIMAGENDO MAGENDO,MTAINGIZWA CHOO CHA KIKE MWISHOWE MTALIA
Huyu boya nime mbana mwanzo kaandika awe mrembo, atume picha full tena whatsap, mara boss mzungu, badae nikamtoa nishai eti kakimbia kuedit mpuuzi sana huyu mbuzi pori..!
 

Mc2nyi

Senior Member
Nov 5, 2013
190
250
Sijaona umeandika mrembo....details umetoa ni vyema sana kwa security yako na mali zako. Hopes mwenye ndugu jamaa na rafiki ambae anahitaji kazi atakutafuta.
Usibishane na kichaa utaonekana wewe ni kichaa zaidi yake maana utatumia energy kubwa kumuelewesha kumbe sio.
All the best upate mdada wa kazi, hata ukipata mrembo zaidi ni poa.
 

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,246
2,000
Sijaona umeandika mrembo....details umetoa ni vyema sana kwa security yako na mali zako. Hopes mwenye ndugu jamaa na rafiki ambae anahitaji kazi atakutafuta.
Usibishane na kichaa utaonekana wewe ni kichaa zaidi yake maana utatumia energy kubwa kumuelewesha kumbe sio.
All the best upate mdada wa kazi, hata ukipata mrembo zaidi ni poa.
Unachofanya nakitambua kenge wewe..! Unapita mlango wa nyuma eti..
 

kilwakivinje

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
3,205
2,000
Jiheshimu edy acha sifa.
Mtasababisha siki zingine ikitokea kazi nisilete hapa.
Mbona nimeshaleta kazi nyingi hapa?
Na watu wengi wakanipigia wengine wanachukua namba hapa wanawapa ndugu zao hadi nikapata mtu.
Sasa kwa nini leo ulalamike?
Na sitaki mwanaume ni msichana anatakiwa sasa wewe wivu wa nini?
Au vaa dela uje basi upewe hio kazi acha wivu
Acha utapeli usilete vikazi vyako vya hovyo vya kutafuta wadada hovyo kabisa usiweke tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom