Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,781
Pole mtoa mada,utakuwa umeshiba na kuvimbiwa matusi
Huyu nyau mpuuzi kwelikweli..[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa leo kakutana na panya wa mjini zembwera mkubwa anajifanya kuhadi.John ulitoa nafasi ya kazi before.ukaomba hivyo hivyo picha.namba yako ninayo niliisevu naona umejisahau ukatima tena.nilikuuliza umepata mtu ukasema yes in a matter of five minutes like seriously? mbona before hujapokea picha ukusema umepata mtu? kwanini unasumbua watu wenye shida?? mimi kazi yangu ni kuumbua matapeli sasa leo utajuuuta umeingia choo cha kiume sink lipo ukutani sijui utakunyaje?? WEWE NI TAPELI MKUBWA NA UNASTAHILI MATUSI MBWEHA WEWE.MARA UNA MGAHAWA MOROCCO AIRTEL MARA UNA KAMPUNI MFYUUUU KAAJIRI DADA ZAKO AU MAJIRANI ZAKO PAKA LA BAA WEWE
Hahahaaaa biashara matangazoNatafuta msichana wa kazi .awe chini ya miaka.21.kazi yake 1.kusimamia M.,.pesa. Hivyo ajue hisabati.2.kuipikia familia yangu, sifa za ziada 1.awe mcha Mungu.2.atoke na barua ya mtaani kwake.na adhaminiwe na wazazi wake.3.asiw Malaya. 4.awe amehitimu form4.contacts.0757658783.au nkulikwaj@gmail.com
Ha ha ha!Hahaha Mlacha buana..
Naona umuhimu wa kuquote mtu sasa....ushahidi muhimu sana...
Jamaa kaedit uzi ila wajanja walishamuwahi....na comments zingine kadelete ila wajanja washaziquote...teh teh...