Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

Ofisi yetu Ipo not far Morocco Airtell.

Imeajiri watanzania 25 ..wanawake 10 na wanaume 15.

Tunayemtafuta ni House keeper.awe ni:-
-Msichana
-Mtanzania
-miaka isizidi 24
-ajue english
-asiwe anakaa mbali na Moroko ya airtell
-awe mwaminifu .
Kazi ambao atatakiwa kufanya:-
-house keeping.
-ni kazi ya kuaminika na kama ni mwaminifu atakaa sana na ni best job.
Anatakiwa afanye yafuatayo-:
-atume majina yake yote na picha yake passport size or any. kwenye whatsapp namba yangu.
Kazi ataanza as soon as possible ndani ya mwezi huu kabla mwaka haujaisha.
Mshahara sio mkubwa ila maslahi yapo kutokana na uaminifu wake.
Tuma details hapa au uliza swali.
0714-925-525
Au tuma CV
johnmllacha@gmail.com
John.
Note: mimi ni verified user, nimetangaza kazi hapa ni uhakika.
Kuna wanaonitukana hapo chini ila nawahakikishia kazi ni ya uhakika.

Msiogope ningekuwa tapeli ningetumia fake id.
Max ana copy ya passport zangu. Nikitapeli mtu ni very easily kunikamata.

Namba yangu imesajiliwa jina langu huamini unaweza kuhakiki.
Nimeshaleta kazi kabla hapa jf na nikapata wafanyakazi.
Leo nashangaa why nimeambulia matusi?

So sad! Next time nitajifikiria kuleta kazi hapa JF mimi kama member wa jf na mjasiriamali
mkuu hao watukanaji ndo zao mimi nawajua wana stress sana .yupo mmoja mlokole hapa anasali kwa gwajima basi taabu tupu
ushapata mtu mkuu?
 
John ulitoa nafasi ya kazi before.ukaomba hivyo hivyo picha.namba yako ninayo niliisevu naona umejisahau ukatima tena.nilikuuliza umepata mtu ukasema yes in a matter of five minutes like seriously? mbona before hujapokea picha ukusema umepata mtu? kwanini unasumbua watu wenye shida?? mimi kazi yangu ni kuumbua matapeli sasa leo utajuuuta umeingia choo cha kiume sink lipo ukutani sijui utakunyaje?? WEWE NI TAPELI MKUBWA NA UNASTAHILI MATUSI MBWEHA WEWE.MARA UNA MGAHAWA MOROCCO AIRTEL MARA UNA KAMPUNI MFYUUUU KAAJIRI DADA ZAKO AU MAJIRANI ZAKO PAKA LA BAA WEWE
 
teh labda hukuqualify jamani
 
huyu kaka anakwambia uje muonane ukifika anakwambia ooh kazi ameshapatikana mtu then anakusalandia ukilegea unaliwa hivi hivi.ana bahati sana huyu nipo mkoa ningedeal nae personally.alishamfanyia hivi ndugu yangu
 
Mkuu hebu tujuze. Alimla ndugu yako?
 
Asante kwa kunitukana,
Ila mwezi wa 11 nilikuwa natafuta waiter na nilimpata kupitia hapa hapa JF.
Na wewe labda ulichelewa.
Kwa sababu imagine hata wiki hii kuna mtu alinipigia kuulizia kazi ya mwezi wa 11 ambayo mtu alishapatikana.
Kwa hio akipatikana mtu na akaajiriwa sio kwamba mimi ni tapeli.
Nadhani kuna point ambayo hujaielewa.
Hata hivyo asante kwa matusi
 
kwa nini ulidai picha kwanza?
 
huyu kaka anakwambia uje muonane ukifika anakwambia ooh kazi ameshapatikana mtu then anakusalandia ukilegea unaliwa hivi hivi.ana bahati sana huyu nipo mkoa ningedeal nae personally.alishamfanyia hivi ndugu yangu
Ndugu yako yupi.
Muulize vizuri kama kweli John Mlacha ndiye kamfanyia hivyo?
Au umependa tu kuniharibia?
Mwambie huyo ndugu yako alete hata meseji zake ambazo nimewasiliana naye.
Kumbuka tumefanyia interview watu wengi sana mimi nikishawafikisha kwa HR sijui nini kinatokea huko.
Ila kama kuna feed back kama hizi kwa nini huyo ndugu yako hajaniambia na wakati mimi ndio nilimuunganisha na wanaofanya interview?
 
Mkuu hebu tujuze. Alimla ndugu yako?
Mkuu heshima ifuate mkondo wake.

Huyo dada mwambie alete vithibitisho manake namba yangu na kila kitu vipo wazi.
Kumtaka mtu kimapenzi ili apate kazi ni kosa kisheria na kuna mashirika mengi sana yanaweza kunipeleka mahakamani.
Siwezi kuthibutu kufanya alichosem huyo dada.
Athibitishe kama ni kweli na alifanyiwa na nani?
Anipe jina mimi nitajua cha kufanya hapo kazini kwangu
 
kwa nini ulidai picha kwanza?
Sio kila mtu lazima afanye kazi fulani .
Kuna kitu kinaitwa presentation(mwonekano)
Hata ukikataa lakini ukweli ndio huo .kama huamini nenda vodacoma customer care uone kama utakuta wazee au wabibi?
Logic ndogo sana.
Hata mfanyeje ila mfanyakazi nitampata lakini hii ni mara ya mwisho kuleta kazi hapa.
Sio kwa mitusi hii khaa!
 
Kawachukue kijijini kwenu uwape hiyo kazi yenye maslahi km usemavyo kijiji kizima kitakuheshimu utakua mungu mtu kwao....
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom